Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Kubatilisha Khalifa Haftar makubaliano ya Skhirat na kujitangaza kuwa kiongozi wa Libya

    Kubatilisha Khalifa Haftar makubaliano ya Skhirat na kujitangaza kuwa kiongozi wa Libya

    Apr 29, 2020 00:48

    Katika hali ambayo mapigano baina ya vikosi vya Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa Libya na wanamgambo watiifu kwa Khalifa Hatar yangali yanaendelea, jenerali huyo muasi amechukua hatua ya upande mmoja ya kuvunja makubaliano ya kisiasa ya Skhirat na kujitangaza kuwa kiongozi wa nchi hiyo.

  • Wanamgambo watiifu kwa Jenerali muasi Haftar washambulia msikiti katika mji mkuu wa Libya

    Wanamgambo watiifu kwa Jenerali muasi Haftar washambulia msikiti katika mji mkuu wa Libya

    Apr 27, 2020 07:52

    Kikosi cha mizinga cha wanamgambo wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar, kimeshambulia msikiti katika mji mkuu wa Libya, Tripoli pamoja na maeneo ya makazi ya raia kandokando ya mji huo.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yapinga mpango wa EU wa kuzuia kuingizwa silaha nchini humo

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yapinga mpango wa EU wa kuzuia kuingizwa silaha nchini humo

    Apr 25, 2020 13:13

    Vita vya ndani nchini Libya vilivyoanza baada ya kung'olewa madarakati dikteta wa zamani wa nchi hiyo, Muammar Gaddafi vimeshika mwelekeo unaotia wasiwasi mkubwa zaidi tangu Aprili mwaka jana 2019 kufuatilia mashambulizi ya wapiganaji wa linalojiita jeshi la taifa la Libya chini ya uongozi wa Khalifa Haftar, lengo likiwa ni kuudhibiti mji mkuu, Tripoli na kuing'oa madarakani Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa.

  • Ripoti: UAE inashirikiana na Sudan kuunga mkono waasi wa Haftar nchini Libya

    Ripoti: UAE inashirikiana na Sudan kuunga mkono waasi wa Haftar nchini Libya

    Apr 25, 2020 11:04

    Gazeti moja la Libya limefichua kuhusu mapatano mapya ya Sudan na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa lengo la kumuunga mkono kinara wa waasi Libya, Jenerali Khalifa Haftar.

  • Libya: Watawala wa Imarati ndio wanaosababisha maafa nchini mwetu

    Libya: Watawala wa Imarati ndio wanaosababisha maafa nchini mwetu

    Apr 23, 2020 11:38

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Serikali ya Maridhiano ya Kitaifa ya Libya amesema kuwa, watawala wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ndio wanaosababisha maafa nchini Libya kutokana na wanamgambo wake walioko chini ya jenerali muasi Khalifa Haftar kutumia gesi za sumu katika mashambulizi yao.

  • Jeshi la serikali ya Libya ladhibiti ngome kadhaa za kijeshi

    Jeshi la serikali ya Libya ladhibiti ngome kadhaa za kijeshi

    Apr 21, 2020 11:38

    Wanajeshi wa serikali inayoongozwa na Fayez al-Sarraj, sambamba na kusonga mbele kuelekea mji wa Tarhunah na kudhibiti moja ya ngome muhimu za wanamgambo wa Khalifa Haftar, wamedhibiti pia ngome kadhaa eneo hilo.

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yaanzisha operesheni ya kukomboa Tarhunah

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yaanzisha operesheni ya kukomboa Tarhunah

    Apr 19, 2020 02:35

    Jeshi la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa nchini Libya limeanzisha operesheni kubwa ya kijeshi ya kudhibiti mji wa Tarhunah, ngome kuu iliyiobakia ya askari watiifu wka mbabe wa kivita, jenerali mstaafu Khalifa haftar huko magharibi mwa Libya.

  • Wanamgambo wa Haftar wafanya mashambulio makubwa dhidi ya mji mkuu Tripoli

    Wanamgambo wa Haftar wafanya mashambulio makubwa dhidi ya mji mkuu Tripoli

    Apr 18, 2020 07:53

    Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya imetangaza kuwa, wanamgambo wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar wamefanya mashambulio makubwa dhidi ya mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.

  • Misri, Saudia na UAE zaandaa mkakati mpya kuliokoa kundi la Haftar lisisambaratishwe katika vita vya Libya

    Misri, Saudia na UAE zaandaa mkakati mpya kuliokoa kundi la Haftar lisisambaratishwe katika vita vya Libya

    Apr 16, 2020 14:39

    Sambamba na kushindwa mtawalia kundi liitwalo Jeshi la Taifa la Libya (LNA) katika hujuma na mashambulio linayofanya ya kutaka kuudhibiti mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli, Misri, Saudi Arabia na Imarati (UAE) zimefikia makubaliano ya kuwapatia misaada zaidi wapiganaji wa kundi hilo.

  • Mamia ya wafungwa watoroka jela nchini Libya

    Mamia ya wafungwa watoroka jela nchini Libya

    Apr 16, 2020 07:50

    Mamia ya wafungwa waliokuwa wamefungwa jela katika mji wa Surman wa magharibi mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli, wametoroka jela na kukimbilia kusikojulikana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS