-
Libya: Kudai Haftar kwamba ataanzisha mashambulio mapya ni vitisho vya kutumia vyombo vya habari
Jul 15, 2019 07:15Msemaji wa vikosi vya serikali ya mapatano ya kitaifa ya Libya amesema, vitisho vilivyotolewa na vikosi vya mashariki mwa nchi hiyo vinavyoongozwa na Khalifa Haftar kwamba vitaanzisha mashambulio mapya dhidi ya mji mkuu Tripoli ni uogofyaji na uenezaji hofu kwa kutumia vyombo vya habari.
-
Kiongozi mmoja wa Daesh aangamizwa nchini Libya
Jul 14, 2019 02:19Kiongozi mmoja wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ameangamizwa katika shambulizi la anga wapiganaji wanaoijiita Jeshi la Taifa la Libya wanaoongozwa na Jenerali Khalifa Haftar.
-
HRW, Amnesty zataka kufungwa vituo vya kuwazuilia wahajiri Libya
Jul 12, 2019 15:18Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Human Rights Watch, Amnesty International na Baraza la Ulaya la Wakimbizi na Wahajiri (ECRE) yametoa mwito wa kufungwa kambi za kuwazuilia wakimbizi na wahajiri nchini Libya.
-
Kansela wa Ujerumani asisitizia ulazima wa kuacha kuiuzia silaha Libya
Jul 11, 2019 04:01Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesisitiza kupatikana njia ya kidiplomasia kwa ajili ya kuutatua mgogoro wa Libya na kuitolea wito jamii ya kimataifa kuacha kuiuzia silaha nchi hiyo.
-
Umoja wa Afrika walaani uingiliaji wa kigeni katika masuala ya ndani ya Libya
Jul 09, 2019 02:32Baraza la Usalama la Amani la Umoja wa Afrika limelaani vikali uingiliaji wa kigeni katika masuala ya ndani ya Libya.
-
14 wauawa katika mapigano Tripoli, mji mkuu wa Libya
Jul 07, 2019 13:35Maafisa jeshi wa Libya wamearifu kuwa watu 14 wameuawa katika mapigano huko Tripoli mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Watu elfu moja wauawa Libya, Misri na Imarati zatuhumiwa kushambulia wahajiri
Jul 06, 2019 04:07Shirika la Umoja wa Mataifa la Wahajiri limetangaza kuwa, tangu mwezi Aprili mwaka huu hadi hivi sasa, karibu watu elfu moja wameshauawa nchini Libya.
-
Putin: Magaidi wanatorokea Libya, wakitokea Syria
Jul 05, 2019 07:18Rais Vladimir Putin wa Russia ameonya kuwa, mgogoro wa kiusalama Libya huenda ukapanuka zaidi kutokana na wimbi la wananchama wa magenge ya kigaidi ambao wanatorokea nchi hiyo, wakitokea katika mkoa wa Idlib uliko kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Uungaji mkono wa rais wa Misri kwa Haftar katika mazungumzo yake ya simu na Trump
Jul 05, 2019 07:09Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Misri amesema kuwa rais wa nchi hiyo amezungumza na mwenzake wa Marekani kuhusiana na masuala ya Libya na Sudan.
-
Kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya; takwa la kufanyika uchunguzi kuhusu uwepo wa silaha za Marekani
Jul 04, 2019 08:02Sanjari na kushadidi vita na mapigano nchini Libya, uingiliaji wa kigeni katika nchi hiyo nao umeongezeka.