-
Libya yaanza ujenzi wa ukuta katika mpaka wa pamoja na Misri
Jan 22, 2019 14:59Serikali ya Libya imeanzisha ujenzi wa ukuta katika mpaka wa pamoja na Misri kwa lengo la kuzuia kuingia wanachama wa kigaidi katika nchi hiyo.
-
Wahajiri 117 wahofiwa kufa maji katika pwani ya Libya
Jan 20, 2019 07:52Wahajiri zaidi ya 100 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya kuzama boti katika pwani ya Libya.
-
13 Wauawa katika mapigano mapya nchini Libya
Jan 19, 2019 15:39Wizara ya Afya ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya imetangaza habari ya kuuawa watu 13 wengine katika mapigano mapya yaliyotokea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
-
Kiongozi wa kundi la kigaidi la al Qaida Libya aangamizwa
Jan 19, 2019 03:01Ripoiti kutoka Libya zinasema kuwa kinara wa kundi la kigaidi la al Qaida nchini humo ameuawa katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo.
-
Spika wa bunge: Libya ni lazima iendeshe uchaguzi hata kama rasimu ya katiba itakataliwa
Jan 15, 2019 03:10Aguila Saleh Spika wa bunge la Libya lenye makao yake katika mji wa Tobruk mashariki mwa nchi amesema kuwa nchi hiyo lazima iendelee mbele na chaguzi za kitaifa hata kama wapiga kura watapinga rasimu ya katiba katika kura ya maoni inayopangwa kufanyika nchini humo.
-
Watu 27 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano mapya kusini mwa Libya
Dec 28, 2018 06:28Kundi moja lenye silaha limevamia kituo kimoja cha askari wanaoitwa Jeshi la Taifa la Libya kusini mwa nchi hiyo na kupelekea kuuawa na kujeruhi watu 27.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya
Dec 26, 2018 14:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana katika jengo la Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya mjini Tripoli.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya yashambuliwa, 13 wauawa na kujeruhiwa
Dec 25, 2018 14:49Kwa akali watu watatu wameuawa akiwemo mtumishi wa umma wa ngazi za juu, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa, baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia jengo lenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya katika mji mkuu Tripoli.
-
Juhudi za mtoto wa Gaddafi za kurejea katika ulingo wa madaraka nchini Libya
Dec 25, 2018 12:18Katika hali ambayo kumekuwepo tetesi kuhusiana na kuingia katika ulingo wa siasa Seif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiongozi wa zamani wa Libya Kanali Muammar Gaddafi na juhudi zake za kutaka kugombea kiti cha urais katika uchaguzi ujao, Seif al-Islam amemwandikia barua Rais Vladimir Putin wa Russia akitaka Moscow imsaidie na kumuunga mkono.
-
Wahajiri 300 waokolewa katika maji ya pwani ya Libya
Dec 22, 2018 08:02Shirika moja lisilo la kiserikali nchini Uhispania limeripoti kuwa wahajiri haramu 300 wameokolewa katika maji ya pwani ya Libya.