-
AU yatahadharisha kuhusu machafuko ya Libya
Dec 19, 2018 15:11Mratibu wa Masuala ya Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika amesema kuwa machafuko na ukosefu wa usalama nchini Libya vinaathiri bara zima la Afrika.
-
Libya yatangaza tarehe ya kufanyika kura ya maoni ya katiba
Dec 07, 2018 08:12Mkuu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Libya ametangaza tarehe ya kufanyika kura ya maoni kuhusu katiba ya nchi hiyo.
-
Kiu na njaa yaua wahajiri 15 ndani ya boti, pwani ya Libya
Dec 04, 2018 14:40Maiti 15 za wahajiri zimepatikana zikiwa ndani ya boti katika pwani ya Libya, katika bahari ya Mediterania.
-
Wahajiri 113 waokoloewa katika fukwe za magharibi mwa Libya
Nov 27, 2018 02:41Jeshi la Majini la Libya limetangaza habari ya kuokoa wahajiri haramu 113 katika fukwe za magharibi mwa nchi hiyo.
-
Watu 7 wauawa katika shambulio la genge la kigaidi la ISIS kusini mashariki mwa Libya
Nov 24, 2018 07:12Vyombo vya habari vya Libya usiku wa kuamkia leo vimetangaza kuwa, wanamgambo wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) wameshambulia kituo kimoja cha polisi kusini mashariki mwa nchi hiyo na kuua watu wasiopungua saba na kujeruhi wengine 10.
-
Makumi ya wahajiri wajifungia kwenye kontena Libya
Nov 15, 2018 03:33Makumi ya wahajiri wamejifungia kwenye shehena iliyoko ndani ya meli moja katika mji bandari wa Misrata kwa muda wa siku tano sasa baada ya kuokolewa, wakisisitiza kuwa Libya ni nchi hatari sana kwao.
-
Juhudi za kurejesha amani nchini Libya
Nov 14, 2018 12:03Jitihada za kurejesha amani huko Libya zinaendelea kufanywa wakati huu ambapo nchi hiyo inasumbuliwa mgogoro na changamoto nyingi. Hadi sasa kumefanyika mikutano kadhaa ya kujadili njia za kurejesha amani nchini humo ukiwemo ule wa siku mbili nchini Italia uliodhuhuriwa na pande kuu husimu katika mgogoro wa ndani wa nchi hiyo na jumbe kutoka nchi 30 duniani.
-
Mkutano wa amani wa Libya wamalizika nchini Italia
Nov 14, 2018 03:18Mkutano wa siku mbili wa amani wa Libya ulimalizika jana usiku katika mji wa Palermo nchini Italia.
-
Mahasimu wa Libya kuzungumzia uchaguzi katika kikao cha Italia
Nov 11, 2018 14:13Makundi hasimu ya kisiasa ya Libya yanatazamiwa kukutana kesho Jumatatu katika mkutano wa kujadili masuala ya uchaguzi, utakaofanyika katika mji wa Palermo nchini Italia.
-
UN yaiwekea Libya vikwazo kwa ukatili wa kingono
Nov 06, 2018 13:36Umoja wa Mataifa umezidisha vikwazo dhidi ya nchi ya Libya kutokana na kesi nyingi za ubakaji na ukatili wa kingono zilizoripotiwa nchini humo.