-
Ongezeko la vitendo vya kigaidi nchini Libya lautia wasiwasi Umoja wa Mataifa
Oct 31, 2018 15:44Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa kuongezeka vitendo vya kigaidi katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo ukiwemo mji mkuu Tripoli, linatia wasiwasi mkubwa.
-
Ukosoaji wa Bunge la Afrika kwa muamala wa kindumakuwili wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na wahajiri haramu
Oct 29, 2018 09:50Bunge la Afrika (PAP) limekosoa undumakuwili wa Umoja wa Mataifa katika kuamiliana na nchi za Kiafrika na za Ulaya kwenye kadhia nzima ya kukabiliana na tatizo la wahajiri haramu.
-
Naibu Spika wa Bunge la Afrika: Libya na Algeria ni wahanga wa uhajiri haramu
Oct 29, 2018 08:14Naibu Spika wa Bunge la Afrika (PAP) amesema Libya na Algeria ni wahanga wa uhajiri haramu barani humo.
-
Misri yajiandaa kutuma jeshi nchini Libya
Oct 22, 2018 14:49Duru za habari zimetangaza kuwa, serikali ya Misri imechukua uamuzi wa kutuma jeshi katika nchi jirani ya Libya kwa ajili ya kulisaidia jeshi la Khalifa Haftar linalojulikana kama Jeshi la Taifa.
-
Libya yalalamikia kufanyika kikao cha waungaji mkono wa Jenerali Haftar nchini Misri
Oct 22, 2018 00:35Maafisa usalama wa serikali ya mwafaka wa kitaifa ya Libya wamelalamikia kufanyika kikao cha waungaji mkono wa Jenerali Khalifa Haftar, kamanda wa vikosi viitwavyo Jeshi la Taifa la Libya katika mji mkuu wa Misri, Cairo.
-
Waarabu wataka utatuzi wa kudumu wa mgogoro wa Libya
Oct 15, 2018 07:45Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League amesisitizia haja ya kutafutwa utatuzi wa kimsingi na wa kudumu wa mgogoro wa Libya.
-
Kaburi la umati lagunduliwa Sirte, Libya, lina zaidi ya maiti 100
Oct 14, 2018 12:26Vyombo vya usalama nchini Libya vimetangaza kuwa, vimegundua kaburi la umati lenye maiti za makumu ya watu lililoko umbali wa kilomita 15 magharibi mwa mji wa Sitre huko kakazini mwa nchi hiyo.
-
Sadiq al Kabir: Kumepatikana hasara ya dola bilioni 48 kutokana na vita vya ndani Libya
Oct 12, 2018 16:44Gavana wa Benki Kuu ya Libya amesema kuwa vita na mapigano ya ndani nchini humo husababisha hasara ya dola bilioni 48.6 kwa uchumi wa nchi hiyo kila mwaka.
-
Uchunguzi: Libya inakabiliwa na kundi jipya la Daesh
Oct 10, 2018 06:26Uchunguzi uliofanywa na mtandao wa al Wasat nchini Libya umebaini kuwa, hali ya kisiasa na kiusalama ya nchi hiyo inaanda mazingira ya kujitokeza kundi jipya la Daesh na kutahadharisha kuwa yumkini nchi hiyo ikawa makimbilio salama ya vinara wa makundi yenye misimamo ya kufurutu mipaka kutoka pembe mbalimbali za dunia.
-
Gaidi hatari zaidi wa Misri atiwa nguvuni Derna, Libya
Oct 09, 2018 02:35Msemaji wa Jeshi la Taifa la Libya ametangaza kuwa, jeshi hilo limemtia nguvuni kinara wa makundi ya kigaidi katika mkoa wa Derna huko kaskazini mwa Libya.