-
Watu kadhaa wauawa na kujeruhiwa katika mapigano mapya kusini mwa Libya
May 12, 2018 14:09Watu kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano mapya yaliyotokea katika mji wa Sabha, kusini magharibi mwa Libya.
-
ICC yataka msaada wa Baraza la Usalama kumkamata Seiful Islam Gaddafi
May 10, 2018 14:27Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuisaidia katika kuwakamata watu watatu wanaosakwa nchini Libya akiwemo Seiful Islam, mwana wa kiume wa aliyekuwa kiongozi wa wa nchi hiyo, Kanali Muammar Gaddafi.
-
Watu wawili wauawa katika shambulizi ya kujiripua mashariki mwa Libya
May 09, 2018 07:52Afisa mmoja wa ngazi za juu wa usalama wa Libya amesema kuwa, watu wawili wameuawa mashariki mwa nchi hiyo baada ya gaidi mmoja kujiripua katika kituo cha upekuzi cha "Jeshi la Taifa la Libya" linaloongozwa na Jenerali Khalifa Haftar.
-
Operesheni ya kuukomboa mji wa Derna yaanza nchini Libya
May 08, 2018 01:26Kamanda wa timu ya operesheni ya jeshi la Libya katika mji wa Derna wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo amesema kuwa, operesheni ya kuukomboa mji huo kutoka mikononi mwa genge moja la kigaidi ilianza rasmi jana (Jumatatu).
-
Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya yatoa wito wa kuondolewa vikwazo vya silaha
May 05, 2018 14:52Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ameiomba jamii ya kimataifa iunge mkono takwa la serikali hiyo la kuondolewa vikwazo vya silaha na zana za kijeshi inazozihitaji.
-
Uungaji mkono wa Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya kwa takwa la kamati ya pande nne
May 03, 2018 07:00Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya imetangaza uungaji mkono wake kwa takwa la kamati ya pande nne la kuyakubali matokeo ya uchaguzi ujao katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Umoja wa Mataifa walaani shambulizi la leo la kigaidi la nchini Libya + Video
May 02, 2018 15:40Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Libya UNSMIL kimelaani shambulizi la kigaidi lililotokea leo katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi mjini Tripoli na kupelekea watu 14 kuuawa.
-
Shambulizi dhidi ya makao makuu ya Tume ya Uchaguzi Libya laua 14 + Video
May 02, 2018 14:58Kwa akali watu 14 wameuawa baada ya kundi la kigaidi kushambulia kwa mabomu na risasi makao makuu ya Tume ya Uchaguzi nchini Libya leo Jumatano.
-
Misri na Imarati zatuhumiwa kuvuruga mchakato wa mapatano ya kitaifa Libya
Apr 24, 2018 16:24Jumuiya ya International Action Group for Libya imezituhumu nchi za Imarati na Misri kuwa zinavuruga jitihada zinazofanywa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya mapatano ya kitaifa nchini Libya.
-
Wahajiri 11 wa Kiafrika wamekufa maji katika pwani ya Libya
Apr 23, 2018 07:45Kwa akali wahajiri 11 wa Kiafrika wameripotiwa kufariki dunia baada ya boti yao kuzama katika maji ya pwani ya magharibi mwa Libya, wakati wakiwa safarini kuelekea Ulaya.