Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Uingiliaji wa kigeni, sababu kuu ya ukosefu wa amani nchini Libya

    Uingiliaji wa kigeni, sababu kuu ya ukosefu wa amani nchini Libya

    Apr 17, 2018 03:18

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Libya amekosoa uingiliaji wa madola ya kigeni na kusema kwamba, sababu kuu ya nchi hiyo kushuhudia ukosefu wa usalama na amani ni uingiliaji wa madola hayo katika masuala ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Siyala: Uingiliaji wa nchi ajinabi; chanzo kikuu cha machafuko Libya

    Siyala: Uingiliaji wa nchi ajinabi; chanzo kikuu cha machafuko Libya

    Apr 15, 2018 14:15

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Libya amekosoa uingiliaji wa nchi ajinabii kuwa sababu kuu inayosababisha hali ya machafuko na ukosefu wa amani nchini humo.

  • Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na muamala mbaya dhidi ya wafungwa nchini Libya

    Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na muamala mbaya dhidi ya wafungwa nchini Libya

    Apr 11, 2018 12:46

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, makundi yanayobeba silaha nchini Libya yanawatesa na kuwaua wafungwa wanaoshikiliwa kwenye jela ambazo kidhahiri ziko chini ya udhibiti wa serikali ya nchi hiyo.

  • UN: Makundi ya wabeba silaha yanawatesa na kuwaua wafungwa katika jela za Libya

    UN: Makundi ya wabeba silaha yanawatesa na kuwaua wafungwa katika jela za Libya

    Apr 11, 2018 04:36

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa makundi yanayobeba silaha nchini Libya yanawatesa na kuwaua wafungwa wanaoshikiliwa kwenye jela ambazo kidhahiri ziko chini ya udhibiti wa serikali ya nchi hiyo.

  • Libya kuitisha kongamano la kitaifa

    Libya kuitisha kongamano la kitaifa

    Apr 06, 2018 14:11

    Viongozi wa Libya wako mbioni kuandaa utangulizi wa mkutano wa kitaifa wenye lengo la kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Jeshi la Libya laanza kutekeleza operesheni dhidi ya kundi la kigaidi la DAESH

    Jeshi la Libya laanza kutekeleza operesheni dhidi ya kundi la kigaidi la DAESH

    Apr 03, 2018 07:59

    Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya imetangaza kuwa jeshi lake limeanza kutekeleza operesheni ya mashambulio dhidi ya kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH magharibi mwa nchi hiyo.

  • Raia watano waliuawa Libya katika mapigano mwezi Machi

    Raia watano waliuawa Libya katika mapigano mwezi Machi

    Apr 02, 2018 07:27

    Idara ya Umoja wa Mataifa nchini Libya, UNSMIL, imetoa taarifa na kusema raia watano waliuawa na wengine 11 kujeruhiwa nchini Libya katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita wa Machi.

  • UN: Ni hatari kufanyika uchaguzi sasa hivi nchini Libya

    UN: Ni hatari kufanyika uchaguzi sasa hivi nchini Libya

    Apr 01, 2018 04:09

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa, ni hatari kufanyika uchaguzi katika mazingira ya hivi sasa nchini Libya.

  • Meya wa mji mkuu wa Libya, Tripoli atekwa nyara na kupelekwa kusikojulikana

    Meya wa mji mkuu wa Libya, Tripoli atekwa nyara na kupelekwa kusikojulikana

    Mar 29, 2018 15:33

    Kundi la watu wenye silaha limemteka nyara na kumpeleka kusikojulikana Meya wa mji mkuu wa Libya, Tripoli Abdulraouf Hassan Baitelmal.

  • Human Rights Watch yatoa wito wa kufanyika uchaguzi huru Libya

    Human Rights Watch yatoa wito wa kufanyika uchaguzi huru Libya

    Mar 21, 2018 14:14

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limewataka viongozi wa Libya kuchukua hatua madhubuti ili kudhamini uchaguzi huru na wa haki katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS