-
UN yakemea kutekwa nyara Mwendesha Mashtaka wa Jeshi Libya
Mar 21, 2018 04:05Kikosi cha Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa nchini Libya kimetoa wito wa kuchukuliwa hatua za dharura za kulinda usalama wa Mwendesha Mashtaka wa Jeshi nchini Libya.
-
Zimwi la Gaddafi lamuandama Sarkozy wa Ufaransa; azuiliwa
Mar 20, 2018 15:56Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, anazuiliwa na polisi ya mjini Paris, kwa ajili ya kusailiwa kuhusu tuhuma za kufadhiliwa na Libya katika uchaguzi wa mwaka 2007.
-
Seif al-Islam Gaddafi ajiandikisha kugombea urais nchini Libya
Mar 20, 2018 08:01Mkuu wa Mipango ya Mwana wa Kanali Muammar Gaddafi, yaani Seif al-Islam Gaddafi ametangaza kuwa, mwana huyo wa kiongozi wa zamani wa Libya ameandikisha jina lake la kuwa miongoni mwa wagombea katika uchaguzi ujao wa rais nchini humo.
-
Mamia ya watu wameuawa au kutekwa nyara Libya mwaka jana 2017
Mar 18, 2018 06:47Taasisi ya Haki za Binadamu ya "Mshikamano" ya nchini Libya imetoa ripoti ikieleza kuwa mwaka jana wa 2017 matukio 744 ya mauaji na utekaji nyara yaliripotiwa na kusajiliwa nchini humo.
-
Mkuu wa Baraza Kuu la Serikali Libya anusurika jaribio la kumuua
Mar 16, 2018 04:57Idara ya Habari ya Mkuu wa Baraza Kuu la Serikali ya Libya imetangaza kuwa, kiongozi huyo na ujumbe uliokuwa ukiandamana naye umenusurika jaribio la kuuawa huko magharibi mwa nchi hiyo.
-
Ofisi ya Mashtaka Libya yatoa waranti wa kutiwa nguvuni wahusika zaidi ya 200 wa magendo ya binadamu
Mar 15, 2018 07:51Ofisi ya Mkuu wa Mashtaka wa serikali ya Libya imetoa waranti wa kutiwa nguvuni zaidi ya watu 200 wanaohusika na mtandao mkubwa wa magendo ya binadamu kuelekea pwani ya Ulaya.
-
Imarati inatumia pesa zilizozuiwa za Libya kuwaunga mkono wapiganaji wa Haftar
Mar 12, 2018 13:46Makamu wa pili wa Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Libya amesema kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unatumia pesa zilizozuiwa za Libya kuwaunga mkono wapiganaji wa kamanda wa jeshi la taifa la nchi hiyo.
-
Libya yashambulia meli ya kigeni katika mpaka wake wa baharini
Mar 11, 2018 16:20Jeshi la Anga la Libya limesema kuwa, limeshambulia meli moja ya kigeni ambayo imeingia katika maji ya mashariki mwa nchi hiyo kinyume cha sheria.
-
Jeshi la Libya lawapa wahajiri wa Kiafrika muda wa siku 9 wawe wameshatoka nchini humo
Mar 09, 2018 03:45Jeshi la taifa la Libya jana (Alkhamisi) liliwapa wahajiri wa Kiafrika muda wa siku tisa wahakikishe wameshaondoka katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Watu watatu wauawa katika mapigano ya kusini mwa Libya
Mar 07, 2018 07:33Ofisi ya habari ya kituo cha afya mjini Sabha, kusini mwa Libya imetangaza habari ya kuuawa watu watatu katika mapigano mapya yaliyotokea mjini humo.