Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • UN: Magendo ya binadamu inaongezeka Libya

    UN: Magendo ya binadamu inaongezeka Libya

    Feb 06, 2018 07:44

    Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wametahadharisha kuhusu ongezeko la magendo ya binadamu nchini Libya.

  • Zaidi ya wahajiri haramu 90 watoweka katika pwani ya Libya wakielekea Ulaya

    Zaidi ya wahajiri haramu 90 watoweka katika pwani ya Libya wakielekea Ulaya

    Feb 02, 2018 14:41

    Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limetangaza kuwa, makumi ya wahajiri haramu wametoweka katika maji ya pwani ya Libya baada ya boti yao kuzama baharini.

  • Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya yasisitiza kufuatiliwa kisheria wahusika wa mauaji ya hadharani

    Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya yasisitiza kufuatiliwa kisheria wahusika wa mauaji ya hadharani

    Jan 28, 2018 15:06

    Baraza la uongozi la serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya imesema kuwa inawajibika kuwafuatilia kisheria wale wote waliohusika na mauaji ya hadharani nchini humo.

  • UN yashtushwa na kutapakaa maiti mashariki mwa Libya

    UN yashtushwa na kutapakaa maiti mashariki mwa Libya

    Jan 28, 2018 08:11

    Umoja wa Mataifa umeeleza wasi wasi wake kutokana na kutapakaa maiti za watu waliouawa katika mazingira ya kutatanisha mashariki mwa Libya.

  • Libya inahitaji msaada wa kibinadamu wa dola milioni 313

    Libya inahitaji msaada wa kibinadamu wa dola milioni 313

    Jan 26, 2018 03:41

    Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya, amezindua mkakati wa kushughulikia maafa ya kibinadamu mwaka huu wa 2018 nchini Libya.

  • Unicef yakosoa kutoheshimu sheria pande zinazozozana Libya

    Unicef yakosoa kutoheshimu sheria pande zinazozozana Libya

    Jan 25, 2018 14:28

    Mjumbe Maalumu wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) nchini Libya amezitaka pande zinazozozana nchini humo kuheshimu sheria za kimataifa.

  • Libya yaituhumu Uturuki kuhusika na miripuko ya mabomu iliyotokea Benghazi

    Libya yaituhumu Uturuki kuhusika na miripuko ya mabomu iliyotokea Benghazi

    Jan 25, 2018 03:49

    Msemaji wa jeshi la taifa la Libya ameituhumu Uturuki kuwa imehusika na miripuko ya mabomu iliyotokea mjini Benghazi mashariki mwa Libya.

  • Iran: Ushirikiano wa dunia unahitajika kwa ajili ya kukabiliana na ugaidi

    Iran: Ushirikiano wa dunia unahitajika kwa ajili ya kukabiliana na ugaidi

    Jan 24, 2018 14:35

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani milipuko ya kigaidi iliyotokea huko Benghazi Libya ambapo mbali na kuwapa mkono wa pole wale waliopoteza ndugu zao katika tukio hilo la kigaidi amesenma kuwa, ili kuukabiliana na ugaidi usio na mipaka kuna haja ya kuweko ushirikiano wa dunia katika hilo.

  • Miripuko ya mabomu yaua watu 33 na kujeruhi 50 mjini Benghazi nchini Libya

    Miripuko ya mabomu yaua watu 33 na kujeruhi 50 mjini Benghazi nchini Libya

    Jan 24, 2018 07:56

    Watu wasiopungua 33 wameuawa na wengine wapatao 50 wamejeruhiwa baada ya magari mawili yaliyotegwa mabomu kuripuka katika mji wa Benghazi ulioko mashariki mwa Libya.

  • AU kuchunguza mateso ya wahajiri wa Kisudan Libya

    AU kuchunguza mateso ya wahajiri wa Kisudan Libya

    Jan 23, 2018 15:05

    Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Kijamii ya Umoja wa Afrika amesema kuwa, umoja huo utaanzisha uchunguzi kuhusu mateso waliyofanyiwa wahajiri wa Kisudani nchini Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS