-
Uchunguzi: Maelfu ya wanawake wanachama wa Daesh wako Libya
Jan 23, 2018 15:01Kituo kimoja cha utafiti cha Marekani kimeripoti kuwa, maelfu ya wanawake wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh wako nchini Libya na kwamba 300 kati yao ni raia wa Tunisia.
-
Kuendelea operesheni za kijeshi nchini Libya dhidi ya makundi yenye silaha
Jan 22, 2018 06:22Mashambulizi ya jeshi la Libya dhidi ya makundi yenye silaha katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo yanaendelea kwa nguvu kubwa chini ya mwavuli wa operesheni ya "Ghadhabu ya Jangwani"
-
Uwanja wa ndege Libya wafunguliwa tena baada ya kujiri mapigano
Jan 21, 2018 03:10Uwanja wa ndege pekee uliokuwa ukifanya kazi huko Tripoli mji mkuu wa Libya ulifunguliwa tena jana Jumamosi baada ya kufungwa kwa siku tano kufuatia mapigano makali yaliyosababisha kuharibiwa ndege za abiria.
-
Khaled al-Khuwailidi: NATO imetenda jina za kivita dhidi ya raia nchini Libya
Jan 20, 2018 15:50Wakili mmoja mashuhuri nchini Libya amefichua kwamba, Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umetenda jinai dhidi ya raia katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Russia: Habari kwamba tunataka kufungua kambi za kijeshi Libya na Misri ni uongo
Jan 13, 2018 14:02Mkuu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Baraza la Shirikisho la Russia amesema kuwa, serikali ya Moscow, haina nia yoyote ya kuanzisha kambi za kijeshi katika nchi za Misri na Libya.
-
Libya yawatia mbaroni wahajiri 81 kutoka Somalia, Ethiopia na Eritrea
Jan 12, 2018 13:45Vyombo vya usalama mashariki mwa Libya vimewakamata makumi ya wahajiri raia wa Somalia, Eritrea na Ethiopia, ambao walikwepa mtego wa magendo ya binadamu.
-
Umoja wa Mataifa wataka kufanyika uchaguzi Libya mwaka huu
Jan 11, 2018 03:59Umoja wa Mataifa umesema uko tayari kuisaidia Libya katika maandalizi ya uchaguzi mkuu kufikia mwishoni mwa mwaka huu 2018.
-
Wahajiri 100 wahofiwa kufa maji katika Bahari ya Mediterranean
Jan 10, 2018 15:56Jeshi la Majini la Libya limetangaza kuwa yumkini wahajiri 100 waliotoweka katika ajali ya boti katika Bahari ya Mediterranean wakiwa safarini kulekea Ulaya, wamekufa maji.
-
Kwa akali wahajiri 64 wa Kiafrika wafa maji katika pwani ya Libya
Jan 09, 2018 07:41Kwa akali wahajiri 64 wameripotiwa kufariki dunia baada ya kuzama maji katika bahari ya Mediterranean wakati wakielekea nchini Italia.
-
Operesheni ya kijeshi ya jeshi la Libya yamalizika katika mpaka wa Tunisia
Jan 09, 2018 04:45Baraza la uongozi la serikali ya umoja wa kitaifa nchini Libya limetangaza habari ya kumalizika operesheni za kijeshi za nchi hiyo katika eneo la Abu Kammash karibu na kivuko cha Ras Jdir kwenye mpaka wa Libya na Tunisia.