Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi mjini Benghazi, Libya zafikia tamati

    Operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi mjini Benghazi, Libya zafikia tamati

    Jan 02, 2018 07:36

    Jeshi la Libya lililo mashariki mwa Libya limetangaza kwamba limehitimisha operesheni zake dhidi ya makundi ya kigaidi mjini Benghazi.

  • Libya yawarejesha nyumbani wahajiri haramu 142 wa Guinea

    Libya yawarejesha nyumbani wahajiri haramu 142 wa Guinea

    Dec 28, 2017 07:53

    Libya imewarejesha nchini kwao wahajiri haramu wapatao 142 raia wa Guinea, ikiwa ni katika jitihada za kupunguza msongamano wa wahamiaji haramu wanaozuiliwa katika vituo mbali mbali nchini humo.

  • Gadi ya Pwani nchini Italia yaokoa mamia ya wahajiri katika bahari ya Mediterranea

    Gadi ya Pwani nchini Italia yaokoa mamia ya wahajiri katika bahari ya Mediterranea

    Dec 27, 2017 07:23

    Askari wa Gadi ya Pwani ya Italia wametangaza habari ya kuwaokoa wahajiri 250 katika bahari ya Mediterranea.

  • UNHCR: Kundi la kwanza la wahajiri waliokuwa Libya wahamishiwa Italia

    UNHCR: Kundi la kwanza la wahajiri waliokuwa Libya wahamishiwa Italia

    Dec 23, 2017 07:44

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limetangaza kuwa, kundi la kwanza la wahajiri waliokuwa katika jela moja nchini Libya wamehamishiwa nchini Italia.

  • Alkhamisi tarehe 21 Disemba, 2017

    Alkhamisi tarehe 21 Disemba, 2017

    Dec 21, 2017 02:45

    Leo ni Alkhamisi tarehe Pili Rabiuthani 1439 Hijria sawa na Disemba 21, 2017

  • Wasiwasi na mashauriano ya majirani wa Libya kuhusiana na kuendelea mgogoro wa nchi hiyo

    Wasiwasi na mashauriano ya majirani wa Libya kuhusiana na kuendelea mgogoro wa nchi hiyo

    Dec 20, 2017 02:35

    Juhudi za kieneo na kimataifa zenye lengo la kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa Libya zinaendelea kushuhudiwa huku hatari ya kuenea ugaidi na ukosefu wa usalama ikizitishia pakubwa nchi za eneo la kaskazini mwa Afrika.

  • Unicef na Shirika la Kimataifa la Wahajiri: Watoto wahajiri elfu 36 wanahitaji msaada huko Libya

    Unicef na Shirika la Kimataifa la Wahajiri: Watoto wahajiri elfu 36 wanahitaji msaada huko Libya

    Dec 19, 2017 07:49

    Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) na Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) jana yalieleza kuwa watoto wahajiri karibu elfu 36 wanahitaji msaada huko Libya na kwamba elfu 14 kati yao hawana wazazi.

  •  Fayez al Sarraj aitolea wito Algeria kushiriki katika mazungumzo ya kitaifa ya Libya

    Fayez al Sarraj aitolea wito Algeria kushiriki katika mazungumzo ya kitaifa ya Libya

    Dec 18, 2017 14:30

    Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ameitaka Algeria ishiriki pakubwa katika kusogeza mbele mazungumzo ya kusaka amani ya nchi yake.

  • Russia yakadhibisha kumuunga mkono kamanda wa jeshi la Libya

    Russia yakadhibisha kumuunga mkono kamanda wa jeshi la Libya

    Dec 16, 2017 03:46

    Balozi wa Russia nchini Libya amekadhibisha madai kwamba nchi yake inamuunga mkono kamanda wa jeshi la taifa la Libya na kuyataja madai hayo kuwa ya uongo.

  • Wahajiri karibu 200 waokolewa katika pwani ya Libya

    Wahajiri karibu 200 waokolewa katika pwani ya Libya

    Dec 15, 2017 16:44

    Kikosi cha Jeshi la Majini la Libya kimeokoa wahajiri karibu 200 katika pwani ya magharibi mwa nchi hiyo katika Bahari ya Mediterania waliokuwa wakielekea Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS