Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Maiti 20 za wahajiri zapatikana katika mpaka wa Libya na Sudan

    Maiti 20 za wahajiri zapatikana katika mpaka wa Libya na Sudan

    Aug 13, 2022 11:24

    Maiti 20 za wahajiri haramu zimepatikana katika jangwa lililoko baina ya Libya na Sudan.

  • Watu kadhaa wauawa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama vya Libya mjini Tripoli

    Watu kadhaa wauawa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama vya Libya mjini Tripoli

    Jul 22, 2022 11:57

    Mapigano makali yaliyozuka kati ya makundi yanayohasimiana katika mji mkuu wa Libya, Tripoli, yamesababisha vifo vya watu kadhaa huku kukiwa na wasiwasi kwamba huenda mzozo wa kisiasa ukazusha upya nchini humo.

  • UN yagundua makaburi mengine ya umati nchini Libya

    UN yagundua makaburi mengine ya umati nchini Libya

    Jul 06, 2022 06:26

    Jopo la Umoja wa Mataifa nchini Libya limetangaza habari ya kugundua 'makaburi ya umati' ambayo hayajafanyiwa uchunguzi, huku likiitaka Tripoli ifanye upekuzi zaidi na kuyachunguza makaburi yaliyogunduliwa.

  • Katibu Mkuu wa UN atiwa wasiwasi na maandamano Libya

    Katibu Mkuu wa UN atiwa wasiwasi na maandamano Libya

    Jul 04, 2022 03:39

    Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ana wasiwasi na maandamano ya wananchi yaliyoshuhudiwa hivi karibuni katika miji kadhaa huko Libya ya kulalamikia hali mbaya ya maisha.

  • Waandamanaji wenye hasira wavamia jengo la bunge la Libya mjini Tobruk

    Waandamanaji wenye hasira wavamia jengo la bunge la Libya mjini Tobruk

    Jul 02, 2022 11:47

    Waandamanaji waliokuwa na hasira wamevamia jengo la bunge katika mji wa Tobruk mashariki ya Libya wakilalamikia hali duni ya maisha na mkwamo wa kisiasa unaoendelea nchini humo.

  • Maiti 20 za wahajiri zapatikana jangwani nchini Libya

    Maiti 20 za wahajiri zapatikana jangwani nchini Libya

    Jun 30, 2022 07:52

    Maiti 20 za wahajiri walioripotiwa kutoweka katika jangwa nchini Libya karibu na mpaka wa Chad, zimepatikana kusini mashariki mwa nchi.

  • Mgogoro wa Libya; na kuanza mazungumzo ya nchi hiyo mjini Geneva

    Mgogoro wa Libya; na kuanza mazungumzo ya nchi hiyo mjini Geneva

    Jun 29, 2022 03:33

    Umoja wa Mataifa umewataka viongozi wa Libya kuonyesha jitihada zao za dhati na kijasiri katika mazungumzo ya makundi ya kisiasa ya nchi hiyo mjini Geneva Uswisi kwa ajili ya kuinasua nch hiyo katika mkwamo wa uchaguzi.

  • Libya na Chad zaifikia makubaliano ya kushirikiana kulinda usalama wa mipakani

    Libya na Chad zaifikia makubaliano ya kushirikiana kulinda usalama wa mipakani

    May 30, 2022 10:18

    Mkuu wa Baraza la Mpito la Kijeshi la Chad ameonana na Mkuu wa Baraza la Uongozi la Libya na pande mbili zimefikia makubaliano ya kushirikiana kulinda usalama katika maeneo tofauti ya mpakani ya nchi hizo mbili ili kulinda usalama wa raia.

  • Mbunge wa Libya: Mjumbe wa UN ni mtekelezaji wa siasa za Marekani

    Mbunge wa Libya: Mjumbe wa UN ni mtekelezaji wa siasa za Marekani

    May 24, 2022 07:19

    Muhammad al A'bani, mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Libya amesema Stephanie Williams, mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ni mtekelezaji wa mipango na siasa za Marekani katika eneo.

  • Al-Dbeibah asisitiza kufungamana na chaguzi za Bunge na Rais Libya

    Al-Dbeibah asisitiza kufungamana na chaguzi za Bunge na Rais Libya

    May 04, 2022 08:05

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema kuwa, wananchi wa Libya hawana njia nyingine isipokuwa kuitisha uchaguzi na amesisitiza kuwa anafungamana na chaguzi za Bunge na Rais wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS