Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Libya

  • Wavuvi wa Libya wawakuta pwani wahajiri 28 wakiwa wameaga dunia

    Wavuvi wa Libya wawakuta pwani wahajiri 28 wakiwa wameaga dunia

    Apr 19, 2017 07:12

    Wavuvi wa Libya wamepata miili ya wahajiri 28 katika pwani ya nchi hiyo ambao wanasadikiwa kuwa waliaga dunia kutokana na kiu na njaa, baada ya boti yao kupasuka katika pwani ya mji wa Sabratha. Hayo yameelezwa na afisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Libya.

  • Takwa kwa jamii ya kimataifa la kuingilia haraka kadhia ya Libya

    Takwa kwa jamii ya kimataifa la kuingilia haraka kadhia ya Libya

    Apr 18, 2017 03:52

    Kufuatia kuendelea vurugu na machafuko nchini Libya na kuweko uwezekano wa kuibuka tena vita vya ndani katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo, Serikali ya Maafikiano ya Kitaifa ya Libya imeitaka jamii ya kimataifa iingilie kati mgogoro wa nchi hiyo na kuhitimisha machafuko ya ndani.

  • Waziri Mkuu wa Libya aiomba jamii ya kimataifa iingilie kati kukomesha machafuko nchini humo

    Waziri Mkuu wa Libya aiomba jamii ya kimataifa iingilie kati kukomesha machafuko nchini humo

    Apr 17, 2017 02:54

    Serikali ya maridhiano ya kitaifa ya Libya imeiomba jamii ya kimataifa ichukue hatua za kuingilia kati haraka ili kukomesha machafuko nchini humo.

  • Wahajiri elfu tatu waokolewa katika pwani ya Libya

    Wahajiri elfu tatu waokolewa katika pwani ya Libya

    Apr 16, 2017 07:18

    Maelfu ya wahajiri wamenusurika kufa maji baada ya boti zao kuzama katika bahari ya Mediterania, wakiwa katika juhudi za kuelekea barani Ulaya.

  • Wasiwasi wa Guterres kuhusu hatari ya mabaki ya wanamgambo wa ISIS nchini Libya

    Wasiwasi wa Guterres kuhusu hatari ya mabaki ya wanamgambo wa ISIS nchini Libya

    Apr 16, 2017 06:29

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres Ijumaa usiku alitahadharisha kuhusu uwezekano wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) kuteka tena baadhi ya maeneo nchini Libya.

  • Katibu Mkuu wa UN atahadharisha kuwa Daesh wanaweza kuidhibiti tena Libya

    Katibu Mkuu wa UN atahadharisha kuwa Daesh wanaweza kuidhibiti tena Libya

    Apr 15, 2017 04:47

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu hatari ya kupanuka zaidi udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika maeneo mbalimbali ya Libya na hali mbaya inayotawala maeneo yanayodhibitiwa na kundi hilo.

  • Wahajiri karibu 100 watoweka pwani ya Libya

    Wahajiri karibu 100 watoweka pwani ya Libya

    Apr 14, 2017 07:33

    Karibu wahamiaji 100 wametoweka baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika maji ya pwani mwa Libya wakiwa mbioni kuelekea Ulaya.

  • Libya yaituhumu EU kuwa imekataa kutekeleza ahadi zake kuhusu wahajiri

    Libya yaituhumu EU kuwa imekataa kutekeleza ahadi zake kuhusu wahajiri

    Apr 12, 2017 03:53

    Waziri Mkuu wa serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa ameukosoa Umoja wa Ulaya (EU) kwa kukataa kutekeleza ahadi ulizozitoa kuhusu kuipatia ufumbuzi kadhia ya magendo wa wahajiri.

  • UN: Wahajiri wa Kiafrika wanauzwa kati ya dola 200 na 500

    UN: Wahajiri wa Kiafrika wanauzwa kati ya dola 200 na 500

    Apr 11, 2017 15:24

    Wakala wa wahamiaji wa Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kutokana kile kinachoonekana ni kurejea kwa biashara ya utumwa.

  • Kuendelea mgogoro wa Libya na hatari ya kugawanywa nchi hiyo

    Kuendelea mgogoro wa Libya na hatari ya kugawanywa nchi hiyo

    Apr 11, 2017 14:57

    Mshauri wa Rais wa Marekani ametoa pendekezo la kugawanywa nchi ya Libya katika nchi tatu zinazojitawala. Pendekezo hilo limetolewa katika kipindi hiki ambapo Libya inaendelea kuzongwa na mgogoro mkubwa wa kisiasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS