-
NATO na changamoto zinazoikabili wakati inaadhimisha mwaka wa 70 wa kuasisiwa kwake
Dec 04, 2019 08:12Nchi wanachama wa shirika la kijeshi la NATO zinakutana mjini London, Uingereza katika mkutano unaoadhimisha mwaka wa 70 tangu kuasisiwa shirika hilo la kijeshi, huku tofauti kubwa na changamoto za mivutano zilizopo ambazo hazijawahi kushuhudiwa, zikiuweka mashakani mustakabali wake.
-
Takwimu za mauaji ya watu London zimezidi za mji wa New York, Marekani
Aug 09, 2019 06:32Polisi ya London imetangaza kuwa, takwimu za mauaji yanayofanyika katika mji mkuu huo wa Uingereza zimezidi zile za mauaji yanayofanyika kila siku katika mji wa New York huko Marekani.
-
Wanaharakati mjini London, Uingereza wataka kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky
Jul 10, 2019 04:20Wanaharakati wa Kiislamu na wa haki za binadamu mjini London Uingereza wamelaani vikali kuendelea kushikiliwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria pamoja na mkewe na kutoa wito wa kuachiliwa huru wawili hao.
-
Kikao cha pande nne cha London na uungaji mkono juu ya kudumishwa vita vya Yemen
Apr 30, 2019 04:02Tokea mwezi Machi 2015 Saudi Arabia ikishirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati, zimekuwa zikiendesha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen. Marekani na Uingereza pia zimekuwa na mchango mkubwa katika vita hivyo kwa kuzipa nchi mbili hizo za Kiarabu msaada mkubwa wa kilojistiki, habari za siri na kijeshi.
-
Maandamano yashuhudiwa London baada ya kukamatwa mwasisi wa Wikileaks
Apr 12, 2019 04:29Maandamano yameshuhudiwa nje ya ubalozi wa Ecuador mjini London baada ya polisi ya Uingereza kumtia mbaroni mwasisi wa mtandao unaofichua fedheha nyingi za nchi na viongozi mbalimbali duniani wa WikiLeaks, Julian Assange, ambaye amekuwa akiishi ubalozini hapo tokea mwaka 2012.
-
Maandamano makubwa yafanyika London kupinga ubaguzi
Mar 17, 2019 04:26Makumi ya maelfu ya watu walikusanyika kati kati ya mji mkuu wa Uingereza, London jana Jumamosi kulaani na kupinga chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na ubaguzi wa rangi.
-
Chini ya masaa 24 baada ya jinai dhidi ya Waislamu New Zealand, magaidi washambulia msikiti mjini London Uingereza
Mar 16, 2019 07:59Katika kipindi cha chini ya masaa 24 tangu magaidi kufanya jinai kubwa na ya kutisha dhidi ya Waislamu nchini New Zealand, magaidi wengine wameuvamia msikiti moja mjini London na kumjeruhi kijana mmoja wa Kiislamu.
-
Kiongozi wa upinzani Uingereza: London inapasa kusitisha uungaji mkono wake kwa muungano vamizi huko Yemen
Aug 13, 2018 02:51Kiongozi wa upinzani nchini Uingereza amesema kuwa serikali ya London inapasa kuacha kunga mkono mapigano huko Yemen na kusitisha mgogoro wa kibinadamu uliosababishwa na mapigano hayo.
-
Maandamano makubwa ya wananchi wa Uingereza wakipinga safari ya Trump mjini London
Jul 13, 2018 15:23Wimbi kubwa la wananchi wa Uingereza limefanya maandamano makubwa kupinga ziara ya Rais wa Marekani mjini London. Maandamano hayo yamefanyika kufuatia wito uliotolewa na taasisi za kutetea haki za binadamu na harakati zinazopinga vita za nchini humo.
-
Trump akaribishwa London kwa wimbi kubwa la maandamano
Jul 13, 2018 04:12Rais Donald Trump wa Marekani aliwasili London, mji mkuu wa Uingereza na kukaribishwa kwa wimbi kubwa la maandamano ya wananchi waliokuwa na hasira ambao wanapinga safari yake.