Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

luteka - maneva ya kijeshi

  • Marekani yazidi kufanya hali ya mambo Korea kuwa mbaya

    Marekani yazidi kufanya hali ya mambo Korea kuwa mbaya

    Oct 24, 2017 14:57

    Marekani imeendelea kufanya hali ya mambo katika eneo la Peninsula ya Korea kuwa mbaya na hivyo kuhatarisha usalama wa eneo hilo.

  • Waziri wa Vita wa Israel aota ndoto za alinacha kuhusu Hizbullah

    Waziri wa Vita wa Israel aota ndoto za alinacha kuhusu Hizbullah

    Sep 13, 2017 14:58

    Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amedai kuwa Israel itashinda katika vita vinavyoweza kutokea siku za usoni kati yake na harakati ya Hizbullah ya Lebanon na kwamba katika vita hivyo wataisambaratisha moja kwa moja harakati hiyo ya muqawama.

  • Misri na Marekani kuanza tena maneva baada ya kusimamishwa kwa miaka 8

    Misri na Marekani kuanza tena maneva baada ya kusimamishwa kwa miaka 8

    Sep 06, 2017 07:07

    Misri imetangaza kuwa itaanza tena kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Marekani baada ya kusimamishwa kwa takriban miaka minane.

  • Maneva ya siku mbili ya kijeshi kati ya Russia na China katika maji ya bahari ya Baltic

    Maneva ya siku mbili ya kijeshi kati ya Russia na China katika maji ya bahari ya Baltic

    Jul 27, 2017 07:31

    Maneva ya kijeshi ya baharini kati ya Russia na China yalianza siku ya Jumanne ya tarehe 25 mwezi huu katika maji ya bahari ya Baltic.

  • Utegemezi usio na mwamana wa serikali ya Doha kwa Marekani, kosa kubwa la Qatar

    Utegemezi usio na mwamana wa serikali ya Doha kwa Marekani, kosa kubwa la Qatar

    Jun 18, 2017 10:18

    Katika hali ambayo kwenye mgogoro wa Saudia na Qatar, serikali ya Marekani imesimama upande wa watawala wa Aal Saud, Ijumaa ya juzi ya tarehe 16 Juni, jeshi la majini la Qatar lilifanya maneva ya pamoja ya kijeshi na kikosi cha baharini cha Marekani katika maji ya Ghuba ya Uajemi.

  • Maneva ya 'Shoka Imara' ya jeshi la Yemen na Answarullah magharibi mwa Yemen

    Maneva ya 'Shoka Imara' ya jeshi la Yemen na Answarullah magharibi mwa Yemen

    Apr 24, 2017 02:56

    Katika hali ambayo vita vya Saudia dhidi ya Yemen vimo ndani ya mwaka wake wa tatu, jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Answarullah, limefanya luteka na maneva ya kijeshi yaliyopewa jina la 'Shoka Imara' kwa lengo la kujiimarisha katika kukabiliana na vibaraka wa Saudia huko magharibi mwa nchi hiyo.

  • Kuanza maneva ya

    Kuanza maneva ya "Simba wa Afrika" nchini Morocco

    Apr 22, 2017 11:53

    Maneva ya kijeshi yaliyopewa jina la "Simba wa Afrika" yameanza katika nchi ya Kiafrika ya Morocco yakishirikisha askari wa Jeshi la Majini la Marekani na wanajeshi 1300 kutoka nchi nyinginen 11.

  • Saudia yazidi kujipenyeza kijeshi Afrika, yaandaa luteka na Sudan

    Saudia yazidi kujipenyeza kijeshi Afrika, yaandaa luteka na Sudan

    Mar 27, 2017 07:54

    Katika hatua inayoonekana ni ya kujaribu kujienyeza zaidi kijeshi barani Afrika, majeshi ya Saudi Arabia na Sudan yanatazamiwa kufanya luteka ya pamoja wiki hii.

  • Jeshi la Majini la Iran lafanyia majaribio kombora la topedo

    Jeshi la Majini la Iran lafanyia majaribio kombora la topedo

    Feb 28, 2017 16:13

    Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo limefanyia majaribio yaliyofana kombora aina ya topedo katika siku ya mwisho ya mazoezi makubwa ya kijeshi katika maji ya kitaifa na kimataifa.

  • Iran yarusha kwa mafanikio kombora jipya zaidi la baharini la Cruz

    Iran yarusha kwa mafanikio kombora jipya zaidi la baharini la Cruz

    Feb 27, 2017 14:15

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa kombora jipya zaidi la baharini la Iran kwa jina la "Nassir" limefanyiwa majaribio kwa mafanikio katika maneva ya jeshi la wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS