Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maafa ya kibinadamu

  • Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atahadharisha kuhusu hali mbaya ya watu wa Yemen

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atahadharisha kuhusu hali mbaya ya watu wa Yemen

    Apr 27, 2017 02:40

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, watoto zaidi ya 50 wa Yemen wanafariki dunia kila siku kutokana na hali mbaya inayotawala nchi hiyo.

  • Hali ya kibinadamu yazidi kuzorota katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Hali ya kibinadamu yazidi kuzorota katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Mar 19, 2017 16:25

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa hali ya kibinadamu imeendelea kuwa mbaya katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • UN yatoa indhari: Hali ya kibinadamu Sudan Kusini inazidi kuwa mbaya

    UN yatoa indhari: Hali ya kibinadamu Sudan Kusini inazidi kuwa mbaya

    Mar 01, 2017 15:56

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa hali ya kibinadamu nchini Sudan Kusini inazidi kuwa mbaya na kutoa wito wa kurahisisha ufikishaji misaada katika maeneo yaliyoathiriwa na machafuko na ya watu wenye ukata wa maisha.

  • UN: Hali ya kibinadamu nchini Libya inatisha

    UN: Hali ya kibinadamu nchini Libya inatisha

    Dec 01, 2016 04:09

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya amesema, hali ya kibinadamu na kiusalama nchini humo ni ya kutia wasiwasi mkubwa.

  • MSF: Hali ya kibinadamu Jamhuri ya Afrika ya Kati inatia wasiwasi

    MSF: Hali ya kibinadamu Jamhuri ya Afrika ya Kati inatia wasiwasi

    Nov 20, 2016 08:08

    Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka limeeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya kibinadamu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Mgororo wa njaa wayakumba maeneo ya Ziwa Chad

    Mgororo wa njaa wayakumba maeneo ya Ziwa Chad

    Jun 14, 2016 14:19

    Kamati ya Kimataifa ya Shirika la Msalaba Mwekundu imetangaza kuwa watu zaidi ya milioni 9 wa eneo la Ziwa Chad barani Afrika wanahitaji misaada ya dharura ya kibinadamu.

  • Syria: UN inatia siasa kwenye masuala ya kibinadamu nchini humo

    Syria: UN inatia siasa kwenye masuala ya kibinadamu nchini humo

    Jun 04, 2016 07:47

    Balozi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amekosoa hatua ya Baraza la Usalama la umoja huo kutia kile alichokitaja kuwa siasa kuhusu hali ya kibinadamu katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • WHO: Yemen inakumbwa na maafa ya kibinadamu

    WHO: Yemen inakumbwa na maafa ya kibinadamu

    Apr 06, 2016 02:56

    Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Yemen amesema asilimia 80 ya watu wa nchi hiyo wanahitaji misaada ya kibinadamu.

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS