Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Maelfu waandamana tena dhidi ya serikali yenye misimamo mikali ya Netanyahu

    Maelfu waandamana tena dhidi ya serikali yenye misimamo mikali ya Netanyahu

    Jan 22, 2023 04:12

    Kwa mara nyingine, makumi ya maelfu ya wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina na kupachikwa jina la Israel wameandamana dhidi ya serikali yenye misimamo ya kuchupa mipaka ya Benjamin Netanyahu.

  • Wananchi wa Burkina Faso waandamana dhidi ya Ufaransa

    Wananchi wa Burkina Faso waandamana dhidi ya Ufaransa

    Jan 21, 2023 06:48

    Mamia ya wananchi wa Burkina Faso wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu Ouagadougou kushiriki maandamano dhidi ya Ufaransa, hatua inayoonesha jinsi ushawishi wa Paris katika nchi za bara la Afrika unavyoendelea kupungua.

  • Wananchi wa Tunisia waandamana tena dhidi ya Rais Kais Saied

    Wananchi wa Tunisia waandamana tena dhidi ya Rais Kais Saied

    Jan 15, 2023 03:25

    Kwa mara nyingine tena wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano makubwa wakimtaka Rais Kais Saied wa nchi hiyo na serikali yake wajiuzulu, kwa kushindwa kuinasua nchi hiyo kutoka kwenye mgogoro wa kisiasa na hali mbaya ya kiuchumi na kijamii.

  • Polisi Ufaransa yashambulia waandamanaji wa 'Vizibao vya Njano'

    Polisi Ufaransa yashambulia waandamanaji wa 'Vizibao vya Njano'

    Jan 09, 2023 00:38

    Askari polisi nchini Ufaransa wamewashambulia vibaya maelfu ya watu walioshiriki maandamano ya Vizibao vya Njano, kulalamikia sera za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo na hususan mageuzi tata ya pensheni yanayotazamiwa kuanza kutekelezwa mwaka huu wa 2023.

  • Wabahrain waandamana kulalamikia kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Wabahrain waandamana kulalamikia kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Dec 26, 2022 04:06

    Wananchi wa Bahrain wameandamana kulalalamikia na kulaani hatua ya nchi yao ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Maandamano makubwa ya Wafaransa ya kupinga sera za NATO na Ulaya katika vita vya Ukraine

    Maandamano makubwa ya Wafaransa ya kupinga sera za NATO na Ulaya katika vita vya Ukraine

    Dec 21, 2022 23:38

    Kutokana na kushamiri hali mbaya ya kiuchumi katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi wengi wa nchi hizo wanapinga sera za Umoja wa Ulaya katika vita vya Ukraine. Hali mbaya ya uhaba wa nishati na wasiwasi unaotokana na msimu wa baridi kali unaokaribia kuanza,

  • Waislamu wa Nigeria waandamana kulaani ukandamizaji wa Mashia Azerbaijan

    Waislamu wa Nigeria waandamana kulaani ukandamizaji wa Mashia Azerbaijan

    Dec 11, 2022 09:10

    Wananchi Waislamu wa Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika kulalamikia mbinyo na ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Azerbaijan.

  • Wasudan wataka UN iache kuingilia masuala ya ndani ya nchi yao

    Wasudan wataka UN iache kuingilia masuala ya ndani ya nchi yao

    Dec 04, 2022 03:38

    Maelfu ya wananchi wa Sudan wamefanya maandamano ya kupinga makubaliano ya amani yanayotazamiwa kusainiwa kesho Jumatatu kwa shabaha ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • Maandamano yafanyika Afrika Kusini kulaani kuachiwa Mzungu katili

    Maandamano yafanyika Afrika Kusini kulaani kuachiwa Mzungu katili

    Dec 01, 2022 23:13

    Wananchi wa Afrika Kusini wamefanya maandamano kulalamikia hatua ya mahakama ya nchi hiyo kumuachia huru raia mbaguzi wa Poland aliyemuua mmoja wa viongozi waliokuwa wanapinga utawala wa zamani wa ubaguzi wa rangi (apartheid).

  • Wasudan waandamana kupinga uingiliaji wa wageni katika masuala ya ndani ya nchi yao

    Wasudan waandamana kupinga uingiliaji wa wageni katika masuala ya ndani ya nchi yao

    Nov 20, 2022 06:21

    Wafuasi wa chama tawala cha zamani nchini Sudan na baadhi ya vyama vya kisiasa wameandamana mjini Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo, kupinga uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya ndani ya Sudan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS