-
Baada ya kuzisuluhisha Ethiopia na Somalia, Erdogan asema yuko tayari kuzipatanisha Sudan na UAE
Dec 14, 2024 06:25Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesisitizia utayari wa nchi yake wa kuimarisha amani na utulivu wa Sudan, ikilinda utawala wake dhidi ya kuingiliwa na nchi za nje.
-
Netanyahu asema, Miinuko ya Golan ya Syria itakaliwa kinyume cha sheria na Israel hadi 'milele'
Dec 10, 2024 11:31Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni amesema, Miinuko ya Golan ya Syria inayokaliwa kwa mabavu itabaki "milele kuwa sehemu isiyoweza kutenganishwa" na Israel.
-
Maandamano dhidi ya Israel yafanyika katika nchi mbalimbali
Dec 02, 2024 07:07Maelfu ya wafuasi wa wananchi wa Palestina wamefanya maandamano katika miji mingi muhimu duniani ikiwemo Paris, Berlin, Santiago, Amsterdam, Copenhagen, Istanbul, Rome, Manchester na London kulaani mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Wananchi wa Morocco waandamana kulaani jinai za Israel
Dec 01, 2024 04:13Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na jeshi la utawala haramu wa IIsrael katika Ukanda wa Gaza.
-
Maandamano makubwa yafanyika Uhispania kulaani jinai za utawala wa Kizayuni
Nov 27, 2024 06:22Maandamano yamefanyika katika miji tofauti ya Uhispania kuunga mkono Palestina na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni.
-
Maandamano ya watetezi wa Palestina yaendelea ulimwenguni
Nov 24, 2024 02:29Wafuasi wa wananchi na wanachuo wa Palestina katika baadhi ya nchi wametoa wito wa kukomeshwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Ghaza na Lebanon kwa mikusanyiko na maandamano.
-
Wananchi wa Morocco na Mauritania waandamana kulaani jinai za Israel
Nov 11, 2024 13:01Wananchi wa Morocco na Mauritania wameandamana na kulaani vikali mashambulio ya utawala haramu za Israel na jinai zake dhidi ya wananchi wa Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Waingereza waandamana 'Siku ya Balfour' kulaani jinai za Israel Gaza
Nov 03, 2024 06:16Makumi ya maelfu ya watu nchini Uingereza waamemiminika mabarabarani mjini London kushiriki maandamano ya kupinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza katika Siku ya Balfour, kumbukizi ya kila mwaka ya kuadhimisha nafasi ya Uingereza katika kuasisiwa utawala wa Kizayuni mwaka 1917.
-
Iran: HAMAS ingali hai, itaendeleza njia yake kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla
Oct 20, 2024 07:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS iko hai na itaendelea kufuata njia yake hiyo hiyo kwa nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa hapo kabla licha ya kuuawa shahidi kiongozi wake Yahya Sinwar.
-
Ripoti: US imetumia $ bilioni 22 kuisaidia kijeshi Israel tangu Oktoba 7, kiwango halisi ni zaidi
Oct 09, 2024 02:27Marekani imetumia zaidi ya dola bilioni 22 kwa ajili ya misaada ya kijeshi inayoupatia utawala wa Kizayuni wa Israel na kufadhili uvamizi na mashambulio yaliyofanywa na utawala huo haramu katika eneo hili kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa.