-
Rouhani: Mafuriko ya Iran yamefichua 'hulka chafu' ya watawala wa Marekani
Apr 17, 2019 13:49Rais Hassan Rouhani ameashiria hatua ya Marekani ya kuzuia kutumwa misaada ya nchi nyingine kwa ajili ya wahanga wa mafuriko hapa nchini Iran, akisisitiza kuwa kitendo hicho kwa mara nyingine tena kimedhihirisha hulka chafu ya watawala wa Washington.
-
Iran: Kwa mara nyingine Marekani imedhihirisha udhalili wake
Apr 16, 2019 06:58Msemaji wa Kamati ya Uongozi ya Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, hatua ya Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya ya kuzuia kutumwa misaada ya nchi nyingine kwa ajili ya wahanga wa mafuriko nchini Iran, imedhihirisha udhalili wake wa kukabiliana na ubinaadamu na haki za msingi za kibinaadamu.
-
UN yaanzisha utaratibu wa kibenki wa ufikishaji misaada ya fedha taslimu kwa waathirika wa mafuriko Iran
Apr 08, 2019 16:25Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Iran amesema: Umoja wa Mataifa umeanzisha utaratibu maalumu wa kibenki kwa ajili ya kufikisha misaada ya fedha taslimu kwa waathirika wa mafuriko nchini Iran.
-
Iran: Watu wenye ushawishi wakabiliane na hatua zisizo za kibinadamu za Marekani
Apr 07, 2019 07:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi na watu wenye ushawishi duniani kupambana na mienendo na hatua zisizo za kibinadamu za Marekani.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Kazi ya msingi sasa ni kuwafidia waathirika wa mafuriko na ukarabati
Apr 03, 2019 15:35Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewasisitizia wakuu wa nchi kuwa kazi muhimu sasa ni ukarabati na ujenzi mpya wa maeneo yaliyoharibiwa katika mafuriko yalioyokumba maeneo mengi ya Iran na pia kuwalipa fidia waathirika.
-
Rouhani: Kuzuia misaada ya kibinadamu kwa waathiriwa wa mafuriko ni jinai isiyo na mfano
Apr 03, 2019 15:00Rais Hassan Rouhani amesema kitendo cha Marekani cha kufunga njia za kufikisha misaada ya kibinadamu kwa waathiriwa wa mafuriko hapa nchini Iran ni jinai ambayo haijawahi kushuhudiwa na isiyo na mfano wake.
-
UN yataka misaada ya kibinadamu iondolewe katika vikwazo dhidi ya Iran
Apr 03, 2019 14:55Mkuu wa Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa sanjari na kueleza kusikitishwa kwake na taathira hasi za mafuriko yaliyoua makumi ya watu nchini Iran, ametoa mwito wa kuondolewa misaada ya kibinadamu katika orodha ya vikwazo dhidi ya taifa hili.
-
Qassemi: Marekani imezuia misaada ya kibinadamu kuwafikia wahanga wa mafuriko nchini Iran
Apr 02, 2019 14:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Bahram Qassemi, amesema kuwa Marekani imefunga akaunti za Shirika la Hilali Nyekundu hatua ambayo ina maana ya kufunga mlango wa kutumwa misaada ya nchi tofauti za dunia kwa waathirika wa mafuriko yaliyoyakumba maeneo mbalimbali ya Iran.
-
Wairaq watangaza mshikamano na waathiriwa wa mafuriko nchini Iran
Mar 31, 2019 13:15Kufuatia mafuriko yaliyoikumba mikoa kadhaa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, makundi tofauti ya Wairaq yametangaza mshikamano wao na waathirika wa mafuriko hayo kwa kuchukua hatua ya kukusanya misaada ya fedha na isiyo ya fedha kwa ajili ya watu hao.
-
Idadi ya waliopoteza maisha katika mafuriko Iran yapindukia 40
Mar 31, 2019 08:02Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha katika maeneo kadhaa ya Iran imeongezeka na kufikia 42.