-
Himaya mpya ya Magharibi kwa Israel
Jan 18, 2024 08:35Wakati ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel bado unaendeleza mauaji yake dhidi ya Wapalestina wa Gaza, nchi za Magharibi nazo zinaendelea kutoa himaya na misaada kwa utawala huo, na kinyume na madai yote ya eti kutetea haki za kibinadamu yanayotolewa na nchi hizo, zinaiwezesha Israel kuendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
-
Malaysia: Magharibi ni mshirika wa jinai za Israel kwa kimya chake
Jan 17, 2024 07:42Waziri Mkuu wa Malaysia amezikosoa vikali nchi za Magharibi kwa kuendelea kufumbia macho matukio ya Gaza na kusisitiza kuwa, Wamagharibi ni washirika wa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina kwa kimya chao hicho.
-
Kupamba moto vita nchini Ukraine na juhudi zisizo na tija za Magharibi
Jan 15, 2024 06:27Russia imeshadidisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine sambamba na kupungua misaada ya kifedha na silaha ya nchi za Magharibi kwa Kyiv.
-
Sisitizo la Putin la kutoziami nchi za Magharibi
Dec 19, 2023 02:34Siku ya Jumapili, Rais Vladimir Putin wa Russia alikiri katika hotuba isiyokuwa ya kawaida kwamba ni makosa kuzidhania vizuri na kuzitegemea nchi za Magharibi na kufikiria kuwa Russia haina tofauti na nchi hizo. Alisema: Nilidhani kimakosa kuwa hakungekuwepo mzozo kati ya Russia na nchi za Magharibi na kwamba ulimwengu ulikuwa umebadilika.
-
Russia: Wamagharibi hatimaye wataondoka Ukraine
Dec 12, 2023 03:35Mkuu wa Idara ya Ujasusi wa Kigeni ya Russia amesema: "Utawala kibaraka wa Kyiv, ambao ni ngeni kwa watu wengi wa Ukraine na umetekeleza mauaji ya umwagaji damu huko Donbass, Odessa na miji na vijiji vingi vya nchi hiyo, hatimaye utaachwa na kutupiliwa mbali na Wamagharibi."
-
Zelensky akosoa upuuzaji wa nchi za Magharibi kwa Ukraine
Dec 02, 2023 10:24Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amezikosoa nchi za Magharibi chini ya uongozi wa Marekani kwa kuisahau Ukraine na kuipunguzia misaada nchi hiyo katika vita na Russia.
-
Onyo la Moscow kuhusu kuendelea vita vya Ukraine mwaka 2024
Dec 01, 2023 07:59Licha ya kupita karibu miezi 22 tangu kuanza vita vya umwagaji damu nchini Ukraine, lakini hakuna matumaini yoyote yanayoashiria kumalizika mzozo huo hivi karibuni. Hii ni katika hali ambayo nchi za Magharibi kwa sasa zimeshughulishwa na vita vya Gaza na hivyo kutozingatia sana vita vya Ukraine, jambo ambalo limeipelekea serikali yenye mielekeo ya Kimagharibi ya Kyiv kukata tamaa kuhusu kupata misaada zaidi ya nchi hizo.
-
Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Watoto Katika Nchi za Magharibi
Nov 22, 2023 10:40Jamii za Wamagharibi, khususan zile zilizoendelea na zinazodai kutetea ubinadamu za Ulaya, zina sura nyingine isiyoonekana waziwazi kwa watu wengi.
-
Ukosolewaji mkali wa undumakuwili wa Magharibi kuhusu kadhia ya Israel na Wapalestina
Nov 21, 2023 07:12Waziri Mkuu wa Ireland, Leo Varadkar amekosoa vikali undumilakuwili wa nchi za Magharibi na kusema kuwa Umoja wa Ulaya na madola ya Magharibi yanashughulikia masuala yanayohusiana na Israel na Palestina kwa undumilakuwili wa wazi.
-
Upinzani wa Wamagharibi kwa usitishaji vita Gaza
Nov 14, 2023 09:23Licha ya kupita karibu siku 40 tangu ilipotokea operesheni ya kimbunga ya Al-Aqswa na radiamali ya utawala wa Kizayuni kwa operesheni hiyo kwa kushambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza na kuuawa maelfu ya Wapalestina na uharibifu mkubwa wa eneo hilo, lakini baadhi ya madola ya Magharibi yakifungamana na Waziri Mkuu wa utawala huu, Benjamin Netanyahu, bado yangali yanapinga usitishaji wa vita hivi vya umwagaji damu.