-
Afungwa jela miezi 13 kwa kuandika sentensi moja ya kuunga mkono Muqawama wa Palestina
Oct 20, 2022 07:31Mahakama ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imemhukumu Mpalestina mmoja anayeishi katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu kifungo cha miezi 13 jela kwa kuandika mtandaoni sentensi moja ya kuunga mkono muqawama wa Palestina.
-
Mahakama Nigeria yamuondolea mashitaka kiongozi wa harakati ya Biafra
Oct 14, 2022 07:53Mahakama ya Rufaa ya Nigeria imemfutia mashitaka yote Nnamdi Kanu, kiongozi wa Watu wa Asili wa Biafra (IPOB), wanaotaka kujitenga eneo la kusini mashariki mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Mahakama Angola yatupilia mbali kesi ya kupinga uchaguzi wa rais
Sep 09, 2022 12:26Mahakama ya Katiba ya Angola imetupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais wa Agosti 24, yaliyompa ushindi mgombea wa chama tawala cha MPLA, Rais Joao Lourenco.
-
Mahakama ya Juu Kenya yatupilia mbali kesi ya Odinga, yabariki ushindi wa Ruto
Sep 05, 2022 11:22Mahakama ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa na mgombea wa urais wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022.
-
Majaji wa Afrika wawasili Kenya kufuatilia kesi ya uchaguzi wa rais
Aug 29, 2022 11:11Wanachama wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika wamewasili jijini Nairobi, kufuatilia shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) hivi karibuni.
-
Odinga aenda mahakamani kupinga matokeo ya urais Kenya
Aug 22, 2022 11:18Mgombea urais wa Kenya kwa tiketi ya chama cha Muungano wa Azimio la Umoja wa One Kenya, Raila Odinga amewasilisha mahakamani shauri la kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC hivi karibuni.
-
Mahakama Tunisia yatengua uamuzi wa rais kuwatimua majaji
Aug 11, 2022 07:37Mahakama moja nchini Tunisia imebatilisha uamuzi wa Rais Kais Saied wa nchi hiyo wa kuwafuta kazi makumi ya majaji.
-
Mahakama Iran yaitoza US faini ya bilioni 4.3 kwa mauaji ya wanasayansi wa nyuklia
Jun 24, 2022 01:18Mahakama moja nchini Iran imeipata na hatia serikali ya Marekani na makumi ya taasisi na maafisa wa nchi hiyo kwa kuunga mkono na kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel kufanya mauaji dhidi ya wanasayansi wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Rais wa zamani wa Burkina Faso ahukumiwa maisha jela kwa mauaji ya Sankara
Apr 07, 2022 01:55Rais wa zamani wa Burkina Faso amehukumiwa kifungo cha maisha jela katika kesi ya mauaji ya Thomas Sankara, kiongozi wa mapinduzi wa nchi hiyo na shujaa wa bara la Afrika yaliyotekelezwa mwaka 1987.
-
Mahakama Tanzania yamuachia huru Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe
Mar 04, 2022 12:24Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, Freeman Mbowe na wenzake watatu, leo Ijumaa wamefutiwa mashtaka yote yaliyokuwa yakiwakabili katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.