Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

makombora ya Iran

  • Iran yaunda kombora la balestiki la Hypersonic

    Iran yaunda kombora la balestiki la Hypersonic

    Nov 10, 2022 07:57

    Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC ametangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kuzalisha kombora la balestiki la Hypersonic, lenye uwezo wa kupenya mifumo yote ya ngao ya ulinzi wa makombora duniani.

  • Jenerali Hajizadeh: Iran itazindua  'kombora la kistratejia' karibuni

    Jenerali Hajizadeh: Iran itazindua 'kombora la kistratejia' karibuni

    Feb 08, 2022 01:02

    Kamanda wa Kikosi cha Anga na Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema karibuni hivi kikosi hicho cha SEPAH kitazindua kombora jipya la kistratejia katika uga wa mifumo ya ulinzi wa anga.

  • Jeshi la Iran kuzindua mfumo mpya wa makombora wa 'Joshan'

    Jeshi la Iran kuzindua mfumo mpya wa makombora wa 'Joshan'

    Jun 27, 2021 02:55

    Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mfumo mpya wa makombora wa Joshan utaanza kufanya kazi kabla ya kumalizika mwaka huu wa Kiirani.

  • Iran yazindua mfumo mpya wa kuvurumisha makombora ya balestiki

    Iran yazindua mfumo mpya wa kuvurumisha makombora ya balestiki

    Nov 04, 2020 08:39

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC limezindua mfumo erevu na wa kiotomatiki wa kuvurumisha makombora kadhaa ya balestiki ya masafa marefu kwa wakati mmoja.

  • Makombora ya Cruise ya Iran kuanza kupiga zaidi ya kilomita 1,000

    Makombora ya Cruise ya Iran kuanza kupiga zaidi ya kilomita 1,000

    Sep 06, 2020 03:19

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amezindua mpango wa kuimarisha mfumo wa makombora ya cruise ya taifa hili yawe na uwezo wa kupiga zaidi ya kilomita 1,000.

  • Iran: Makombora yetu yana uwezo na muundo wa kipekee

    Iran: Makombora yetu yana uwezo na muundo wa kipekee

    Sep 02, 2020 03:32

    Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema makombora yaliyozalishwa hapa nchini yana muundo wa aina yake na uwezo wa kipekee, jambo ambalo limeimarisha uwezo wa kujihami taifa hili.

  • Iran kuzalisha makombora ya masafa marefu karibuni

    Iran kuzalisha makombora ya masafa marefu karibuni

    Jul 12, 2020 03:22

    Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kikosi hicho kitazalisha makombora ya masafa marefu hivi karibuni.

  • Iran yaboresha uwezo na kasi ya makombora yake ya baharini

    Iran yaboresha uwezo na kasi ya makombora yake ya baharini

    Apr 21, 2020 03:41

    Kamanda wa Kikosi cha Baharini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC amesema kikosi hicho kimeunda makombora yenye uwezo mkubwa zaidi, yanayoweza kupiga umbali wa kilomita 700.

  • Pentagon: Uwezo wa makombora wa Iran ndio mkubwa zaidi M/Kati

    Pentagon: Uwezo wa makombora wa Iran ndio mkubwa zaidi M/Kati

    Nov 20, 2019 03:36

    Utafiti uliofanywa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) unaonyesha kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo nchi yenye uwezo mkubwa zaidi katika uga wa makombora ya balistiki katika eneo la Asia Magharibi.

  • Iran: Hatutojadiliana na yeyote kuhusu uwezo wetu wa makombora

    Iran: Hatutojadiliana na yeyote kuhusu uwezo wetu wa makombora

    Jul 17, 2019 02:56

    Msemaji wa Ofisi ya Uwakilishi ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitafanya mazungumzo na yeyote kuhusu makombora yake ya kujihami.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS