-
Jeshi la Iran lazindua 'drones' na makombora mapya
Jan 30, 2019 11:09Sambamba na kukaribia maadhimisho ya miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua silaha mpya za kijeshi, yakiwemo makombora ya kisasa na ndege zisizokuwa na rubani (drone).
-
'Iran haishughulishwi na makelele ya Marekani; itaimarisha majaribio ya makombora yake'
Dec 21, 2018 23:33Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, SEPAH, limeapa kuwa litaendelea na majaribio na utafiti wake wa makombora kwa kasi zaidi ya huko nyuma na litapuuza mashinikizo na vikwazo vya Marekani.
-
Zarif amshangaa Netanyahu kwa kusifia makombora mapya ya Israel
Dec 18, 2018 12:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali kitendo cha Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel cha kuonesha majivuno na kusifia makombora mapya ya utawala huo wa Kizayuni.
-
Zarif: Iran katu haitafanya mazungumzo kuhusu makombora yake
Dec 15, 2018 11:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesisitiza kwa mara nyingine kuwa, Iran haitafanya mazungumzo kuhusu makombora yake ya kujihami.
-
Salehi: Uwezo wa makombora wa Iran umeiduwaza dunia
Nov 12, 2018 01:02Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) Ali Akbar Salehi amesema mafanikio ya Iran katika uzalishaji wa makombora umeishangaza dunia.
-
"Uwezo wa kujihami Iran ni kwa maslahi ya kuzuia vita Mashariki ya Kati"
Oct 26, 2018 11:49Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema stratijia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kuimarisha uwezo wake wa kujihami ni kwa shabaha ya kuzuia vita katika eneo hili la Mashariki ya Kati.
-
"Makombora, jibu na ujumbe wa Iran kwa waungaji mkono wa ugaidi"
Oct 05, 2018 12:15Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran sanjari na kupongeza mashambulizi ya makombora yaliyofanywa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC dhidi ya ngome za magaidi nchini Syria amesema operesheni hiyo ilikuwa jibu la Iran lililobeba ujumbe mahsusi kwa magaidi, wafadhili na waungaji mkono wao.
-
Iran yasema uwezo wake wa makombora ni kwa ajili ya kujilinda
Jul 07, 2018 03:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa hatua ya Iran ya kuimarisha uwezo wake wa makombora ni kwa ajili ya kujihami.
-
Uzalishaji wa makombora umeongezeka mara tatu Iran licha ya mashinikizo ya maadui
Mar 07, 2018 10:41Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uzalishaji wa makombora kwa ajili ya kujiimarisha kiulinzi umeongezeka mara tatu hapa nchini licha ya mashinikizo ya maadui wa taifa hili.
-
Iran: Hakuna yeyote anayeruhusiwa kujadiliana na maajinabi kuhusu uwezo wetu wa makombora
Mar 06, 2018 04:24Naibu Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna mtu yeyote aliye na haki au mamlaka ya kujadili au kufanya mazungumzo na madola ajinabi kuhusu uwezo wa makombora wa taifa hili.