Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

makombora ya Iran

  • Iran yasema uwezo wake wa makombora ni kwa ajili ya kujilinda

    Iran yasema uwezo wake wa makombora ni kwa ajili ya kujilinda

    Jul 07, 2018 03:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa hatua ya Iran ya kuimarisha uwezo wake wa makombora ni kwa ajili ya kujihami.

  • Uzalishaji wa makombora umeongezeka mara tatu Iran licha ya mashinikizo ya maadui

    Uzalishaji wa makombora umeongezeka mara tatu Iran licha ya mashinikizo ya maadui

    Mar 07, 2018 10:41

    Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uzalishaji wa makombora kwa ajili ya kujiimarisha kiulinzi umeongezeka mara tatu hapa nchini licha ya mashinikizo ya maadui wa taifa hili.

  • Iran: Hakuna yeyote anayeruhusiwa kujadiliana na maajinabi kuhusu uwezo wetu wa makombora

    Iran: Hakuna yeyote anayeruhusiwa kujadiliana na maajinabi kuhusu uwezo wetu wa makombora

    Mar 06, 2018 04:24

    Naibu Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna mtu yeyote aliye na haki au mamlaka ya kujadili au kufanya mazungumzo na madola ajinabi kuhusu uwezo wa makombora wa taifa hili.

  • Iran yakanusha madai ya kukubali mazungumzo kuhusu makombora

    Iran yakanusha madai ya kukubali mazungumzo kuhusu makombora

    Jan 17, 2018 23:02

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekadhibisha ripoti iliyochapishwa kwenye gazeti la The Financial Times kuwa Tehran imekubali kuingia katika mazungumzo kuhusu mradi wake wa makombora.

  • Iran yafanyia majaribio kombora jipya la balistiki

    Iran yafanyia majaribio kombora jipya la balistiki

    Sep 23, 2017 04:38

    Iran imefanyia majaribio yaliyofana kombora lake jipya la masafa marefu la balistiki linalojulikana kama Khorramshahr, masaa machache tu baada ya kulizindua katika gwaride la kijeshi mjini Tehran.

  • Korea Kaskazini yavurumisha makombora ya balistiki

    Korea Kaskazini yavurumisha makombora ya balistiki

    Aug 26, 2017 02:31

    Korea Kaskazini imevurumisha makombora matatu ya masafa mafupi ya balistiki kuelekea pwani yake ya kaskazini.

  • Iran yafanyia majaribio makombora ya Neze’at-10 kwenye luteka ya 'Baitul Muqaddas 28'

    Iran yafanyia majaribio makombora ya Neze’at-10 kwenye luteka ya 'Baitul Muqaddas 28'

    May 22, 2016 11:51

    Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limefanyia majaribio makombora mawili yaliyopewa jina la Neze'at-10 katika mazoezi ya kijeshi yanayoendelea katikati mwa nchi.

  • Dehqan: Katu Iran haitasita kufanyia majaribio makombora

    Dehqan: Katu Iran haitasita kufanyia majaribio makombora

    May 10, 2016 00:43

    Wizara ya Ulinzi ya Iran imesema katu Jamhuri ya Kiislamu haitachoka kujiimarisha kiulinzi na kusisitiza kuwa haina nia au mpango wa kuacha kuyafanyia majaribio makombora yake.

  • Iran yafanyia majaribio kombora la balistiki

    Iran yafanyia majaribio kombora la balistiki

    May 09, 2016 10:49

    Iran hivi karibuni ilifanyia majaribio kombora la balistiki lenye uwezo wa kuruka masafa ya kilomita 2,000 na kulenga shabaha kwa ustadi mkubwa.

  • Zarif: Hatuna cha kujadili kuhusu makombora ya Iran

    Zarif: Hatuna cha kujadili kuhusu makombora ya Iran

    Apr 10, 2016 03:21

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema katu Jamhuri ya Kiislamu haiwezi kufanya aina yoyote ya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS