-
Upinzani wa Marekani kwa azimio la Baraza la Usalama kuhusu matakfiri; kutengwa zaidi Washington
Sep 01, 2020 22:12Marekani imekuwa na nafasi muhimu katika kuibuka na kuenea makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la kigaidi la Daesh tangu kuanza mgogoro nchini Syria mwaka 2011.
-
Ayatullah Araki: Ushindi wa kambi ya Muqawama umewafanya matakfiri watengwe
Nov 14, 2019 07:49Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, kupanuka zaidi ujumbe wa umoja na mshikamano katika Ulimwengu wa Kiislamu na kutengwa mrengo wa mawahabi na matakfiri ni miongoni mwa athari nzuri za ushindi wa kambi ya muqawama na mapambano dhidi ya ubeberu.
-
Lebanon: Ugaidi wa ukufurishaji na ugaidi wa Israel hatima yao ni moja
Jan 08, 2019 11:18Mkuu wa Usalama wa Umma nchini Lebanon amesema, hakuna tofauti kati ya ugaidi wa ukufurishaji na ugaidi utawala wa Kizayuni wa Israel, na akasisitiza kwamba ugaidi wa Israel, kama zilivyo aina nyingine za ugaidi, nao pia uko katika hali ya kutokomea.
-
Magaidi watwangana wenyewe kwa wenyewe Syria, mamia wauawa
Jan 05, 2019 04:16Mamia ya magaidi wameangamizwa baada ya kuibuka mzozo miongoni mwa makamanda wa magenge hasimu ya kigaidi nchini Syria.
-
Assad: Syria yaanzisha mkakati wa ujenzi mpya baada ya magaidi kutimuliwa
Jul 10, 2018 09:17Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kipaumbele chake ni ujenzi mpya wa nchi hiyo baada ya kutimuliwa magaidi walioanzisah vita nchini humo mwaka 2011 kwa uungaji mkono wa kigeni.
-
Jeshi la Syria lakomboa vijiji zaidi vilivyokuwa vimetekwa na magaidi wa ISIS mkoani Daraa
Jul 06, 2018 22:50Jeshi la Syria limewatimua magaidi na kukomboa kikamilifu vijiji kadhaa katika mkoa wa kusini magharibi wa Daraa karibu na mpaka wa Jordan kwa lengo la kufungua kituo cha kistratijia cha Nasib.
-
Iran kuwanyonga magaidi 8 wa ISIS waliohusika na hujuma za kigaidi mjini Tehran
Jul 06, 2018 22:09Mahakama nchini Iran imepitisha hukumu ya kuwanyonga magaidi wanane wa kundi la kigaidi la Daesh ambao walihusika katika hujuma dhidi ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, na Haram Takatifu ya Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini MA, mwaka 2017 mjini Tehran.
-
Polisi wa Iraq wagundua mahandaki mawili ya magaidi wa Daesh (ISIS)
Jun 20, 2018 11:49Polisi wa Federali ya Iraq imetangaza leo kuwa, imefanikiwa kugundua mahandaki mawili ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika eneo la Khuwaja na kutegua zaidi ya mabomu 10 yaliyokuwa yametegwa kwenye mahandaki hayo.
-
Jeshi la Syria lapata mabomu ya Israel katika mapango ya magaidi Ghouta
Mar 29, 2018 01:48Wanajeshi wa Syria wamepata idadi kubwa ya silaha za utawala haramu wa Israel zilizoachwa na magaidi wakufurishaji waliokuwa wakitoroka kutoka katika eneo la Ghouta Mashariki nje kidogo ya mji mkuu, Damascus.
-
Vikosi vya Syria vyadhibiti asilimia 90 ya eneo la Ghouta Mashariki
Mar 24, 2018 02:49Wanajeshi wa Syria wanadhibiti zaidi ya asilimi 90 ya eneo la Ghouta Mashariki lililo karibu na mji mkuu Damascus.