-
Syria yaitaka Saudi Arabia iache kuunga mkono makundi ya kigaidi
Mar 22, 2018 04:22Katika barua mbili zilizotumwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria kwenda Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo, Damascus imelalamikia mwenendo wa uungaji mkono wa baadhi ya nchi kwa kushirikiana na nchi za Magharibi kwa makundi ya kigaidi nchini Syria.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 17 na sauti
Nov 25, 2017 19:33Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 17 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Wapenzi wa Ahlul-Baiti AS umeanza leo hapa mjini Tehran + SAUTI
Nov 22, 2017 12:12Mkutano wa Kimataifa wa Wapenzi wa Ahlul-Baiti (as) umeanza leo hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na shakhsia, wanazuoni na wanafikra 500 kutoka katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Rais wa Somalia aapa kupambana na magaidi wa al Shabab baada ya hujuma ya kigaidi
Oct 19, 2017 07:43Rais Mohammad Abdullahi Mohamed wa Somalia ameapa kupambana na kundi la kigaidi la al-Shabab kufatia hujuma mbaya zaidi ya kigaidi kuwahi kushuhudiwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu ambapo watu zaidi ya 300 waliuawa.
-
Hizbullah: Mpango wa matakfiri Mashariki ya Kati unasambaratika
Jun 28, 2017 07:18Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, hali ya kisiasa inayotawala hivi sasa katika eneo la Mashariki ya Kati ni kwa manufaa ya mhimili wa muqawama na kwamba, mpango wa matakfiri umo katika katika hali ya kusambaratika.
-
Kongamano la Umoja wa Umma wa Kiislamu la kukabiliana na utakfiri lafanyika Iran
Feb 26, 2017 04:32Kongamano la sita la "Umoja wa Umma wa kiislamu Katika Kukabiliana na Utakfiri" lilifanyika jana Jumamosi katika mji wa Bojnord kaskazini mashariki mwa Iran na kuhudhuriwa na mamia ya wasomi wa madhehebu ya Kishia na Kisuni.
-
Wimbi la utakfiri katika ulimwengu wa Kiislamu sehemu ya (36)
Sep 19, 2016 04:56Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyoangazia macho chimbuko la makundi yenye kuwakufurisha Waislamu wengine na kutekeleza jinai na mauaji ya kutisha dhidi yao hii leo ikiwa ni sehemu ya 36 ya vipindi hivyo.
-
Nasrullah: Makundi kigaidi yanatumikia maslahi ya Marekani
Aug 14, 2016 07:01Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameyataka makundi ya kigaidi na kitakfiri kuweka chini silaha na yatambue kuwa harakati zao hazina maslahi kwa yeyote isipokuwa adui Marekani.
-
Rais Putin: Hakuna makundi mazuri ya kigaidi
Aug 06, 2016 06:59Rais Vladimir Putin wa Russia ameonya dhidi ya kuyatumia baadhi ya magenge ya kigaidi kwa maslahi ya kisiasa na kuyaorodhesha kama makundi mazuri ya kigaidi.
-
Mamia ya magaidi waangamizana nchini Syria
May 20, 2016 07:03Mamia ya magaidi wameangamizana katika viunga vya Damascus, mjini mkuu wa Syria baada ya kutokea mapigano makali baina yao.