-
Yemen yakosoa hatua ya UN ya kuiondoa Saudia katika orodha ya wauaji wa watoto
Aug 12, 2020 11:30Waziri Mkuu wa Serikali ya Uwokozi wa Kitaifa ya Yemen amekosoa hatua ya Umoja wa Mataifa ya kuiondoa Saudi Arabia katika orodha ya wauaji wa watoto.
-
Corona na maandamano dhidi ya Trump katika jimbo la Virginia
May 25, 2020 07:08Wakazi wa jimbo la Virginia nchini Marekani wamefanya maandamano mbele ya kilabu ya Trump katika jimbo hilo, wakilalamikia uongozi wake mbovu katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona.
-
Morocco yalalamikia kutoalikwa Rabat kwenye mkutano wa amani ya Libya
Jan 20, 2020 03:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco amelalamikia kitendo cha kutoalikwa nchi yake kushiriki mkutano wa amani ya Libya mjini Berlin, Ujerumani na akasema vigezo vinavyotumiwa kuchagua nchi kushiriki katika mkutano huo vinaibua maswali mengi.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yawataka Wairani wasifanye safari nchini Ufaransa kutokana na machafuko
Dec 11, 2019 01:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewataka Wairani wasifanye safari nchini Ufaransa kutokana na ghasia na migomo inayoendelea kufanyika nchini humo.
-
Wanafunzi wa vyuo vikuu Ufaransa wajawa na ghadhabu baada ya mwanafunzi mmoja kujichoma moto
Nov 13, 2019 08:21Kitendo cha mawanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha Lyon nchini Ufaransa kujichoma moto na upuuzaji wa serikali ya Rais Emmanuel Macron kuhusiana na tukio hilo, kimewaghadhibisha mno wanafunzi wa vyuo vikuu wa nchi hiyo.
-
Rais wa Lebanon: Nitajitahidi kufanya kila niwezalo kupunguza maumivu ya wananchi
Oct 19, 2019 07:43Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema, atajitahidi kufanya kila lililo kwenye uwezo wake ili kupunguza maumivu waliyonayo wananchi.
-
Baraza la Maulama Saudia lapinga ufisadi wa kimaadili nchini humo
Jul 09, 2019 12:52Wajumbe watatu wa Baraza la Maulama nchini Saudi Arabia wamekataa kushiriki katika vikao vya baraza hilo wakilalamikia ufuska na ufisadi wa kimadili nchini humo.
-
Wakazi wa mji wa Hiroshima, Japan wafanya maandamano kulaani majaribio ya Marekani ya silaha za nyuklia
May 29, 2019 03:50Wakazi wa mji wa Hiroshima nchini Japan wamefanya maandamano kulaani majaribio ya hivi karibuni ya silaha za nyuklia yaliyofanywa na Marekani.
-
Malalamiko ya Syria kutokana na kuendelea jinai za muungano vamizi wa Marekani
Jan 07, 2019 08:20Kwa mara nyingine Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imewatumia barua mbili tofauti Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo, ikilalamikia jinai zinazofanywa na muungano vamizi unaojiita eti dhidi ya Daesh (ISIS) unaoongozwa na Marekani huko katika jimbo la Deir ez-Zor nchini humo.
-
Malalamiko dhidi ya matamshi ya kukejeli Uislamu nchini Uingereza
Aug 09, 2018 02:28Katika mkondo wa wimbi la kupinga matamshi ya dharau na kebehi yaliyotolewa na waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Uingereza dhidi ya Waislamu, Mwenyekiti wa chama cha Conservative cha Uingereza amemtaka Boris Johnson aombe radhi kutokana na matamshi yake dhidi ya wanawake wa Kiislamu wanaovaa vazi la burqa.