-
Jumamosi, 10 Juni, 2023
Jun 10, 2023 01:41Leo ni Jumamosi 21 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1444 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 10 Juni 2023 Miladia.
-
Kufichuliwa kashfa ya ujasusi wa utawala wa Kizayuni nchini Malaysia
Oct 22, 2022 02:40Waziri wa Mambo ya Ndani wa Malaysia, Hamzah bin Zainudin, ametangaza kuwa nchi hiyo imeanza uchunguzi kuhusu nafasi ya shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel (MOSSAD) katika kutekwa nyara Mpalestina huko Kuala Lumpur.
-
Jumatano, 31 Agosti, 2022
Aug 31, 2022 02:19Leo ni Jumatano Mwezi 3 Mfunguo Tano Safar, 1444 Hijria, sawa na tarehe 31 Agosti, 2022 Miladia
-
Mahakama yaidhinisha hukumu ya kifungo dhidi ya Waziri mkuu wa zamani wa Malaysia
Aug 24, 2022 08:00Najib Razaq, Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia ameshindwa katika kesi yake ya mwisho ya rufaa katika kesi ya ufisadi iliyomhusisha na ufisadi mkubwa wa fedha za umma.
-
Ijumaa, Juni 10, 2022
Jun 09, 2022 23:18Leo ni Ijumaa mwezi 10 Mfunguo Pili Dhulqaad 1443 Hijria, sawa na tarehe 10 Juni, 2022 Milaadia.
-
Pakistan, Uturuki na Malaysia kuasisi televisheni ya kupambana na chuki dhidi ya Uislamu
Dec 20, 2021 09:12Waziri wa Habari na Turathi za Taifa wa Pakistan amesema, nchi hiyo kwa kushirikiana na Uturuki na Malaysia zitaanzisha chaneli ya televisheni kwa lengo la kukabiliana na kampeni za uenezaji chuki dhidi ya Uislamu duniani.
-
Hamas yapongeza hatua ya Malaysia kukataa kuanzisha uhusiano na Israel
Oct 21, 2021 11:36Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza tamko la Waziri wa Mambo ya Nje wa Malaysia ambaye amesema nchi yake katu haitaanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jumanne tarehe 31 Agosti 2021
Aug 31, 2021 02:22Leo ni Jumanne tarehe 22 Muharram 1443 Hiijria sawa na Agosti 31 mwaka 2021.
-
Jumatatu tarehe 31 Agosti mwaka 2020
Aug 31, 2020 03:14Leo ni Jumatatu tarehe 11 Mfunguo Nne Muharram mwaka 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 31 Agosti mwaka 2020.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia apatikana na hatia ya ufisadi na kutumia vibaya madaraka
Jul 28, 2020 10:32Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak amepatikana na hatia katika tuhuma zinazomkabili ikiwa ni pamoja na kuhusika na ufisadi, kutumia vibaya madaraka na kutakatisha fedha chafu.