Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mali

  • Trump anatafakari hujuma za kijeshi dhidi ya Mali, nchi yenye utajiri wa dhahabu

    Trump anatafakari hujuma za kijeshi dhidi ya Mali, nchi yenye utajiri wa dhahabu

    Jul 23, 2026 11:39

    Utawala wa Rais Donald Trump umeripotiwa kuanza kutafakari kutekeleza hujuma za kijeshi dhidi ya Mali, nchi ya Afrika Magharibi ambayo ni maarufu kwa utajiri mkubwa wa  dhahabu. Hatua hii, ikiidhinishwa, itaiongeza nchi hiyo katika orodha ndefu ya mataifa yaliyolengwa na Washington tangu Rais huyo mpenda vita kurejea madarakani mwaka jana.

  • Ripoti ya HRW: Pande zinazopigana Mali zinahusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu

    Ripoti ya HRW: Pande zinazopigana Mali zinahusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu

    Jun 29, 2026 12:10

    Pande zinazopigana nchini Mali zinahusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa na shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW).

  • Mali yaatangaza zawadi ya dola milioni 12.4 kwa atakayesaidia kukamatwa au kuuawa viongozi wa waasi

    Mali yaatangaza zawadi ya dola milioni 12.4 kwa atakayesaidia kukamatwa au kuuawa viongozi wa waasi

    Jun 06, 2026 04:31

    Serikali ya Mali imezindua kifurushi kisicho cha kawaida cha hatua za usalama, kikijumuisha zawadi kubwa za kifedha na hatua kali, kama sehemu ya kuzidisha mapambano dhidi ya makundi ya waasi yenye silaha ambayo yamezidisha mashambulizi katika miezi ya hivi karibuni, haswa baada ya shambulio la umwagaji damu la Aprili 25 lililomuua Waziri wa Ulinzi wa Mali.

  • Wananchi wa Mali waandamana kumuunga mkono kiongozi wao wa kijeshi

    Wananchi wa Mali waandamana kumuunga mkono kiongozi wao wa kijeshi

    May 10, 2026 10:09

    Mamia ya waungaji mkono wa uongozi wa serikali ya kijeshi ya Mali Jumamosi walijumuika katika uwanja wa michezo katika mji mkuu, Bamako ili kuthibitisha uungaji mkono wao kwa serikali ya mpito ya nchi hiyo.

  • Jeshi la Mali lakomboa mji wa mpakani baada ya shambulio la ISIS karibu na Niger

    Jeshi la Mali lakomboa mji wa mpakani baada ya shambulio la ISIS karibu na Niger

    May 02, 2026 07:21

    Vikosi vya jeshi la Mali vimedhibiti tena mji wa karibu na mpaka wa nchi hiyo na Niger baada ya wanamgambo wanaohusishwa na ISIS kuondoka katika eneo hilo kufuatia mapigano makali, wakati jeshi likiimarisha doria kwenye maeneo hayo.

  • Al-Qaeda na waasi wa Kituareg wadai kuhusika na

    Al-Qaeda na waasi wa Kituareg wadai kuhusika na "shambulio kubwa zaidi" nchini Mali

    Apr 26, 2026 09:05

    Kundi linalohusishwa na mtandao wa al-Qaeda na waasi wa Tuareg limedai kuhusika na mashambulizi yaliyoratibiwa kote nchini Mali siku ya Jumamosi, yanayotajwa kama mojawapo ya operesheni kali zaidi dhidi ya serikali inayoongozwa na jeshi la nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Jeshi Mali lamuangamiza kinara wa Daesh katika eneo la Sahara

    Jeshi Mali lamuangamiza kinara wa Daesh katika eneo la Sahara

    Jul 22, 2025 01:07

    Jeshi la Mali limetangaza kuwa limemuua Souleymane Ag Bakawa, mmoja wa viongozi wa kundi la kigaidi la Daesh katika eneo pana la Sahara, wakati wa operesheni ya kiusalama katika eneo la Tinfadimata, kaskazini mwa Mali.

  • Mahakama ya rufaa ya Mali yakataa ombi la kuwaachia huru baadhi ya wapinzani

    Mahakama ya rufaa ya Mali yakataa ombi la kuwaachia huru baadhi ya wapinzani

    Nov 13, 2024 03:35

    Mahakama ya rufaa katika mji mkuu wa Mali, Bamako jana ilikataa ombi la kuwaachiwa huru mawaziri na wanasiasa 11 waliokuwa wakiukosoa uongozi wa kijeshi nchini humo ambao walitiwa nguvuni mwezi Juni kwa kile kilichotajwa kuwa kula njama dhidi ya utawala wa kijeshi.

  • Muungano wa kisiasa wa Mali wapinga kura ya maoni ya katiba

    Muungano wa kisiasa wa Mali wapinga kura ya maoni ya katiba

    May 09, 2023 08:35

    Jumuiya mbalimbali za kisiasa nchini Mali zimeunganisha nguvu pamoja ili kupinga uamuzi wa serikali ya kijeshi ya nchi hiyo wa kuendesha kura ya maoni kuhusu katiba mpya nchi hiyo. Kura hiyo ya maoni imepangwa kufanyika Juni 18 mwaka huu.

  • Watu wenye silaha wamewateka nyara wafanyakazi wa Kichina na Kimauritania huko Mali

    Watu wenye silaha wamewateka nyara wafanyakazi wa Kichina na Kimauritania huko Mali

    Jul 18, 2021 03:42

    Watu wenye silaha wamewateka nyara raia watatu wa Kichina na wawili wa Kimauritania katika eneo la kazi la ujenzi kusini magharibi mwa Mali. Hayo yameelezwa na jeshi la Mali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS