-
Waziri Mkuu Sudan aahidi kutimiza matakwa ya Wasudan katika wiki mbili zijazo
Jul 05, 2020 14:23Waziri Mkuu wa Sudan amesema kuwa amekutana na makundi mbalimbali ya kisiasa na kijamii katika siku chache zilizopita na kupokea miito inayomtaka asahihishe mwelekeo wa serikali yake na kutimiza malengo ya mapinduzi ya Wasudani yaliyomuondoa madarakani rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir.
-
Watu 287 wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini
May 21, 2020 07:50Mamia ya watu wameuawa katika mapigano ya kikabila katika jimbo la Jonglei, mashariki mwa Sudan Kusini.
-
Mapigano ya kikabila Darfur, Sudan yaua watu 30
May 07, 2020 07:58Kwa akali watu 30 wameuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika mapigano ya kikabila baina ya Waarabu na wasiokuwa Waarabu katika mkoa wa Darfur Magharibi nchini Sudan.
-
Baada ya kushindwa kutatua mgogoro wa Libya, Arab League yasema inasikitishwa na mapigano wakati huu wa kushughulikia corona
Apr 05, 2020 02:52Baada ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kushindwa kutatua mgogoro wa Libya na kukomesha mapigano katika nchi hiyo ya Kiarabu ya kaskazini mwa Afrika, Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo ameishia kusema anasikitishwa na vita vinavyoendelea huko Libya badala ya kuelekezwa nguvu katika kupambana na ugonjwa wa COVID-19.
-
Wasi wasi wa Umoja wa Ulaya kuhusu kuendelea mapigano nchini Yemen, undumakuwili wa EU
Apr 01, 2020 09:41Tangu mwezi Machi 2015, Saudi Arabia iliunda muungano kwa kushirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kuanzisha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen na hadi sasa makumi ya maelfu ya raia wa nchi hiyo wameshauawa shahidi na kujeruhiwa.
-
Polisi na raia wa Ugiriki wapambana na wahajiri wanaoingia Ulaya
Mar 03, 2020 02:24Polisi na kundi la raia wa Ugiriki wamekabiliana na wahajiri wanaovuka mpaka kuelekea Ulaya.
-
Makumi wauawa katika mapigano ya kikabila Ethiopia na Somalia
Feb 29, 2020 13:32Watu wasiopungua 12 wameuawa katika mapigano mapya ya kikabila katika jimbo la Gambella, magharibi mwa Ethiopia.
-
Ghasia za umwagaji damu baina ya wapingaji na waungaji mkono wa sheria mpya ya uraia nchini India
Feb 27, 2020 02:24Kwa akali watu 23 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 150 wamejeruhiwa katika mji mkuu wa India New Delhi, kufuatia ghasia zilizoibuka kati ya wapingaji na waungaji mkono wa sheria tata ya kuwapa uraia wa nchi hiyo watu wasio Waislamu.
-
Watu 13 wafariki dunia na 150 wajeruhiwa katika ghasia za mjini New Delhi, India
Feb 26, 2020 04:40Watu 13 wamefariki dunia na wengine 150 wamejeruhiwa katika ghasia zilizoibuka kati ya wapingaji na waungaji mkono wa sheria tata ya kuwapa uraia wa nchi hiyo watu wasio Waislamu.
-
Uwanja wa Ndege wa Tripoli Libya wafungwa tena baada ya kushambuliwa kwa maroketi
Jan 23, 2020 02:28Uwanja pekee wa ndege unaofanya kazi mjini Tripoli Libya ulifungwa tena jana Jumatano baada ya kushambuliwa kwa maroketi.