-
Taathira za Kimataifa za Mapinduzi ya Kislamu ya Iran
Feb 10, 2019 08:10Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji unapokutana nami Salum Bendera katika mfululizo huu wa vipindi hivi maalumu vya Alfajiri Kumi vinavyokujieni kwa manasaba wa maadhimisho ya miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wa Imam Ruhullah Khomeini.
-
Jumapili, Februari 10, 2019
Feb 10, 2019 01:14Leo ni Jumapili tarehe 4 Mfunguo Tisa Jamaduth-Thani 1440 Hijria, mwafaka na tarehe 10 Februari 2019 Miladia.
-
Ijumaa tarehe 8 Februari 2019
Feb 07, 2019 22:34Leo ni Ijumaa tarehe Pili Jamadithani 1440 Hijria sawa na Februari 8 mwaka 2019.
-
Mafanikio ya Sayansi Iran baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 04, 2019 09:43Makala hii tumekutayarishia kwa munasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 40 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Katika makala ya leo tutaangazia mafanikio ya sayansi na teknolojia nchini Iran.
-
Miaka 40 ya kuwa bega kwa bega wanawake na Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 04, 2019 05:48Tukichunguza kwa makini mapinduzi na mabadiliko mbalimbali ambayo yametokea duniani hadi sasa tutabaini kuwa wanawake wameshiriki na wametoa mchango athirifu katika akthari ya mapinduzi hayo. Katika moja ya sifa maalumu za Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni kushiriki kwa wingi wanawake na mchango mkubwa waliotoa katika mapinduzi hayo.
-
Vijana, Walinzi Imara na wa Daima wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 03, 2019 11:41Ujana ni kipindi kinachong'aa cha maisha ya mwanadamu ambacho japokuwa si kirefu lakini athari zake zinabakia muda mrefu na huwa na taahira kubwa katika maisha ya kiumbe huyo.
-
Alfajiri Kumi na Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 02, 2019 13:15Tarehe 12 Bahman sawa na tarehe Mosi Februari, inasadifiana na mwanzo wa sherehe za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Qur'ani Katika Medani ya Mapinduzi ya Kiislamu (1)
Feb 03, 2019 08:26Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hususan huko nyumbani Afrika Mashariki. Katika siku hizi, wananchi wa Iran wanaendelea na sherehe za Alfajiri Kumi katika kona zote za nchi kwa ajili ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 nchini Iran.
-
Miaka 40 na juhudi za kuunganisha madhehebu za Kiislamu
Feb 02, 2019 04:35Katika mada ya 11 ya Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwa msingi wa Aya ya Qur'ani Tukufu inayosema: Hakika umma wenu huu ni umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu, kwa hivyo niabuduni Mimi, serikali ya Jamhuri ya Kiislamu inawajibika kuratibu siasa zake kuu kwa msingi wa kuleta umoja na mshikamano wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kati ya mataifa yote ya Kiislamu.
-
'Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamesimama imara'
Feb 02, 2019 02:48Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameashiria njama za maadui dhidi ya Iran na kusema: "Pamoja na kuwepo uhasama wote huo, lakini Mapinduzi ya Kiislamu yamesimama imara na yanaendelea kupata nguvu na izza."