-
Qur'ani Katika Medani ya Mapinduzi ya Kiislamu (1)
Feb 03, 2019 08:26Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hususan huko nyumbani Afrika Mashariki. Katika siku hizi, wananchi wa Iran wanaendelea na sherehe za Alfajiri Kumi katika kona zote za nchi kwa ajili ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 nchini Iran.
-
Miaka 40 na juhudi za kuunganisha madhehebu za Kiislamu
Feb 02, 2019 04:35Katika mada ya 11 ya Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwa msingi wa Aya ya Qur'ani Tukufu inayosema: Hakika umma wenu huu ni umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu, kwa hivyo niabuduni Mimi, serikali ya Jamhuri ya Kiislamu inawajibika kuratibu siasa zake kuu kwa msingi wa kuleta umoja na mshikamano wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kati ya mataifa yote ya Kiislamu.
-
'Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamesimama imara'
Feb 02, 2019 02:48Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameashiria njama za maadui dhidi ya Iran na kusema: "Pamoja na kuwepo uhasama wote huo, lakini Mapinduzi ya Kiislamu yamesimama imara na yanaendelea kupata nguvu na izza."
-
Rouhani: Mapinduzi ya Kiislamu yaliyashinda madola ya kibeberu kwa kusimama kidete wananchi
Jan 30, 2019 14:43Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hayati Imam Ruhullah Khomeini ni mhuishaji mkubwa zaidi wa dini katika zama za sasa na ndiye mhandisi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo yalipata ushindi dhidi ya madola ya kibeberu kutokana na kusimama kidete kwa wananchi.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (7)
Jan 30, 2019 08:17Sehemu ya Sita: Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani. Msikilizaji mpenzi wa Radio Tehran, ni matumaini yangu kuwa hujambo popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha tena kusikiliza kipindi hiki kinachokujia kila wiki, siku na saa kama hii, kinachozungumzia Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii. Endelea kuwa nami basi hadi mwisho wa mazungumzo yetu, ili kuweza kufaidika na yale niliyokuandalia katika mfululizo huu wa sita,
-
Larijani: Mapinduzi ya Kiislamu ni mafanikio makubwa ya karne
Jan 22, 2019 14:41Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran, Bunge la Iran, amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni mafanikio makubwa ya karne.
-
Jumatatu tarehe 21 Januari 2019
Jan 21, 2019 01:37Leo ni Jumatatu tarehe 14 Jamadil Awwal 1440 Hijria sawa na tarehe 21 Januari 2019.
-
Jumapili, Januari 20, 2019
Jan 20, 2019 01:10Leo ni Jumapili tarehe 13 Jamadil-Awwal 1440 Hijiria, sawa na tarehe 20 Januari 2019 Miladia.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (6)
Jan 15, 2019 06:44Sehemu ya Tano: Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani. Msikilizaji mpenzi wa Radio Tehran, ni matumaini yangu kuwa hujambo popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha tena kusikiliza kipindi hiki kinachokujia kila wiki, siku na saa kama hii, kinachozungumzia Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (3)
Jan 15, 2019 06:22Sehemu ya Pili: Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani. Msikilizaji mpenzi wa Radio Tehran, huku nikitumai kuwa hujambo popote pale ulipo wakati huu, nakukaribisha kusikiliza kipindi hiki kinachokujia kila wiki, siku na saa kama hii. Endelea kuwa nami basi hadi mwisho wa mazungumzo yetu, ili kuweza kufaidika na yale niliyokuandalia katika mfululizo huu wa pili.