Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Uchunguzi wa maoni: Thamani za maadili nchini Marekani zinazidi kuporomoka

    Uchunguzi wa maoni: Thamani za maadili nchini Marekani zinazidi kuporomoka

    Jun 11, 2023 04:25

    Uchunguzi wa maoni unaonyesha kuwa asilimia 83 ya Wamarekani wanaamini kuwa, thamani za maadili katika nchi hiyo zimedhoofika.

  • Aal Saud wapinga maagizo ya kiimla ya Marekani kuhusu siasa zao za kigeni

    Aal Saud wapinga maagizo ya kiimla ya Marekani kuhusu siasa zao za kigeni

    Jun 11, 2023 00:55

    Vyanzo vya Marekani vimetangaza kuwa Saudi Arabia imekataa maombi ya Washington ya kuitaka ijitenge na China pamoja na Russia na kusisitiza juu ya kuendeleza siasa zake huru za kigeni.

  • China yaitaka Marekani iache undumakuwili, ulaghai wa kisiasa

    China yaitaka Marekani iache undumakuwili, ulaghai wa kisiasa

    Jun 10, 2023 06:53

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema mtazamo na misimamo ya Marekani mkabala wa mpango wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mfano mwingine wa sera za kindumakuwili za Washington.

  • Ufunguzi wa ubalozi wa Iran nchini Saudi Arabia; kushindwa kwingine kwa siasa za kikanda za Marekani

    Ufunguzi wa ubalozi wa Iran nchini Saudi Arabia; kushindwa kwingine kwa siasa za kikanda za Marekani

    Jun 07, 2023 21:58

    Sambamba na kufufuliwa uhusiano wa kisiasa na kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufalme wa Saudi Arabia, ubalozi wa Iran mjini Riyadh ulifunguliwa tena Jumanne, Juni 6 baada ya kufungwa kwa miaka saba.

  • Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia kuwa Marekani inaunga mkono magaidi wa Daesh na Al Qaeda

    Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia kuwa Marekani inaunga mkono magaidi wa Daesh na Al Qaeda

    Jun 07, 2023 06:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema Marekani inaunga mkono makundi ya kigaidi nchini Afghanistan kwa lengo la kuliyumbisha eneo.

  • Haley: Tunaipa silaha Ukraine ili 'tuzuie' vita, tutoe ujumbe kwa mahasimu wa US

    Haley: Tunaipa silaha Ukraine ili 'tuzuie' vita, tutoe ujumbe kwa mahasimu wa US

    Jun 05, 2023 23:15

    Nikki Haley mwenye azma ya kuteuliwa na chama cha Republican kuwa mgombea wake wa urais katika ujao nchini Marekani ametoa matamshi ya kujikanyaga akidai kuwa, njia pekee ya kukomesha vita vya Ukraine ni kuendelea mapigano baina ya Russia na Ukraine, na eti kushindwa Kiev katika vita hivyo kutaibua Vita vya Tatu vya Dunia.

  • Wabahrain waujia juu ubalozi wa Marekani mjini Manama kwa kutangaza ushoga nchini humo

    Wabahrain waujia juu ubalozi wa Marekani mjini Manama kwa kutangaza ushoga nchini humo

    Jun 05, 2023 06:48

    Wananchi wa Bahrain wametangaza hasira na masikitiko yao kutokana na kuwekwa bendera ya mashoga na mabaradhuli kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya ubalozi wa Marekani mjini Manama na uungaji mkono wa ubalozi huo kwa kampeni ya kueneza ushoga nchini mwao.

  • US yahamakishwa na muungano wa baharini wa Iran, Saudia, nchi za Ghuba ya Uajemi

    US yahamakishwa na muungano wa baharini wa Iran, Saudia, nchi za Ghuba ya Uajemi

    Jun 04, 2023 23:05

    Jeshi la Baharini la Marekani limetiwa kiwewe na tangazo la Iran la kutaka kuundwa muungano wa vikosi vya baharini vya Jamhuri ya Kiislamu, Saudi Arabia na nchi nyingine za Ghuba ya Uajemi.

  • Kujitoa Imarati katika muungano wa baharini na Marekani; Sababu na ujumbe wake

    Kujitoa Imarati katika muungano wa baharini na Marekani; Sababu na ujumbe wake

    Jun 03, 2023 21:55

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Imarati hivi karibuni ilitoa taarifa na kutangaza kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) miezi miwili iliyopita ulijitoa na kuacha kushiriki kwenye Muungano wa Nguvu ya Baharini kutokana na tathmini yake endelevu ya ushirikiano mzuri wa usalama na washirika wake wote.

  • Eswatini yaikosoa US kwa kuingilia masuala yake ya ndani

    Eswatini yaikosoa US kwa kuingilia masuala yake ya ndani

    Jun 02, 2023 22:02

    Serikali ya Eswatini imeukosoa vikali ubalozi wa Marekani kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS