Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kana'ani: Marekani iliunga mkono mfumo wa 'apartheid' Afrika Kusini

    Kana'ani: Marekani iliunga mkono mfumo wa 'apartheid' Afrika Kusini

    Mar 05, 2023 07:40

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Marekani haistahiki kujipiga kifua na kudai kuwa kinara wa kutetea na kulinda haki za binadamu duniani kutokana na rekodi yake nyeusi.

  • US yaendelea kuiba mafuta ya Syria licha ya kukumbwa na zilzala

    US yaendelea kuiba mafuta ya Syria licha ya kukumbwa na zilzala

    Mar 05, 2023 07:19

    Marekani kwa kushirikiana na mamluki wa Kikurdi imeendelea kuiba mafuta ya Syria, wakati huu ambapo nchi hiyo ya Kiarabu inajaribu kujinasua kutoka kwenye misukosuko na changamoto zinazotokana na matetemeko ya ardhi yaliyoua maelfu ya watu nchini humo.

  • Marekani yaendeleza uraibu wake wa vikwazo kwa kuiwekea Iran vikwazo vipya

    Marekani yaendeleza uraibu wake wa vikwazo kwa kuiwekea Iran vikwazo vipya

    Mar 03, 2023 04:15

    Marekani imeyawekea vikwazo makampuni na meli kadhaa katika kuendeleza muelekeo wake wa kiundumakuwili na sera yake ya mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran: Mlango wa kuhuisha JCPOA hautabaki wazi daima

    Iran: Mlango wa kuhuisha JCPOA hautabaki wazi daima

    Mar 02, 2023 23:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameionya Marekani kuwa, mlango wa mazungumzo ya kuhuisha makubaliano ya nyukia ya JCPOA hautabaki wazi milele, na kwa msingi huo ameiasa Washington kutumia fursa hiyo vizuri na kuyanusuru mapatano hayo.

  • Rais wa Mexico: Taifa langu lina demokrasia kushinda Marekani

    Rais wa Mexico: Taifa langu lina demokrasia kushinda Marekani

    Mar 02, 2023 23:11

    Rais Andrés Manuel López Obrador wa Mexico amesema taifa lake lina demokrasia zaidi ya Marekani, katika kile kinachoonekana ni kuzidi kuingia doa uhusiano wa nchi mbili hizo.

  • Iran: Mkwamo wa sasa wa JCPOA ni matunda ya sera ghalati za Marekani

    Iran: Mkwamo wa sasa wa JCPOA ni matunda ya sera ghalati za Marekani

    Mar 01, 2023 04:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameikosoa na kuilaumu Marekani kwa kukwamisha mazungumzo ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ya mwaka 2015.

  • Wapalestina wapinga mkutano na Israel ulioandaliwa na US huko Jordan

    Wapalestina wapinga mkutano na Israel ulioandaliwa na US huko Jordan

    Feb 26, 2023 23:01

    Maelfu ya Wapalestina wamefanya maandamano katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kulalamikia mkutano eti wa kiusalama ulioandaliwa na Marekani huko Jordan, siku chache baada ya jeshi katili la Israel kufanya mashambulizi ya umwagaji damu huko Jenin.

  • Moscow: US inazishinikiza nchi za Afrika zikate uhusiano na Russia

    Moscow: US inazishinikiza nchi za Afrika zikate uhusiano na Russia

    Feb 26, 2023 08:00

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi za Afrika hivi sasa zinashuhudia mashinikizo makubwa ya kuzitaka zikate uhusiano wao na Russia.

  • Upinzani wa Magharibi dhidi ya mpango wa amani wa China kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Ukraine

    Upinzani wa Magharibi dhidi ya mpango wa amani wa China kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Ukraine

    Feb 25, 2023 22:54

    Rais Joe Biden wa Marekani ameeleza shaka yake kuhusu manufaa ya mpango wa China wa kumaliza vita na kutatua mgogoro wa Ukraine. Akijibu mpango wa China wa kumaliza vita na kutatua mgogoro wa Ukraine, Biden amesema kuwa mpango huo unainufaisha Russia pekee.

  • Musk amuanika mwanadiplomasia wa US anayechochea vita vya Ukraine

    Musk amuanika mwanadiplomasia wa US anayechochea vita vya Ukraine

    Feb 24, 2023 23:12

    Bilionea wa Kimarekani, Elon Musk, ambaye ni mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Twitter amemtuhumu mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani kuwa ndiye anayekoleza moto wa vita vya Ukraine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS