-
Onyo jipya la kijeshi la Marekani kwa China
Apr 24, 2022 21:48Mashindano ya kijeshi na kiusalama baina ya Marekani na China katika eneo la Indo-Pasifiki yamechukua muelekeo mpya kutokana na jitihada za pande mbili za kujiimarisha kijeshi katika eneo hilo muhimu kistratijia.
-
Iran: Marekani iachane na siasa zake za kibeberu na kupenda makuu
Apr 23, 2022 02:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani inapaswa kuachana na siasa zake za kupenda makuu katika mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea mjini Vienna Austria na iyaangalie mazungumzo hayo katika uhalisia wake.
-
Russia yawawekea vikwazo Makamu wa Rais wa Marekani, Mkuu wa Meta
Apr 22, 2022 22:09Serikali ya Russia imetangaza kuwawekea vikwazo makumi ya shakhsia wa Marekani akiwemo Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Kamala Harris na Afisa Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Meta (Facebook) Mark Zuckerberg.
-
Faisal Miqdad: Marekani na nchi za Magharibi zinafanya njama za kuangamiza suala la Palestina
Apr 22, 2022 02:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa, nchi za Magharibi zinaendelea kula njama za kuvuruga na kuharibu kadhia ya ukombozi wa Palestina na haki thabiti za watu wake, hususan haki ya wakimbizi wa Kipalestina kurejea katika nchi yao na kuongeza kuwa, Damascus inafuatilia kwa wasiwas matukio hatari yanayojiri huko Quds ( Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
-
Russia yakosoa juhudi za Magharibi za kurefusha vita vya Ukraine
Apr 21, 2022 04:41Waziri wa Ulinzi wa Russia, Sergei Shoigu amesema kwamba Marekani na nchi nyingine za Magharibi zimefanya jitihada kubwa za kurefusha muda wa operesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine.
-
Kukosolewa unafiki wa Marekani kuhusu suala la haki za binadamu
Apr 20, 2022 22:20Ilhan Omar, mbunge wa Kiislamu katika Congress ya Marekani amesema kuwa madai yanayotolewa na utawala wa Wadhington kuhusu haki za binadamu duniani ni ya kinafiki, na kusisitiza kuwa kama nchi hiyo inataka kuishtaka Russia katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kuhusiana na tuhuma zinazotolewa dhidi yake kuhusu vita vya Ukraine, inapasa kwanza yenyewe ijiunge na kuwa mwanachama wa mahakama hiyo.
-
Wanafunzi Waislamu Marekani wahanga wa vitendo vya udhalilishaji na unyanyasaji mashuleni
Apr 17, 2022 21:58Matokeo ya uchunguzi wa maoni yanaonyesha kuwa, zaidi ya nusu ya wanafunzi Waislamu katika skuli za jimbo la California nchini Marekani wanakabiliwa na vitendo vya ubaguzi wanavyofanyiwa na wanafunzi wakubwa kwa wadogo wakiwemo walimu.
-
Mwito wa Wademokrati wa kutaka kuangaliwa upya uhusiano wa Marekani na Saudia
Apr 15, 2022 21:52Wakuu wa Kamati za Masuala ya Kigeni na ya Ujasusi za Baraza la Wawakilishi la Marekani pamoja na zaidi ya wabunge 20 wa chama tawala cha Democrat wameitaka serikali ya Joe Biden kuchukua misimamo mikali dhidi ya Saudi Arabia hasa baada ya Riyadh kukataa kushirikiana na Washington dhidi ya Russia.
-
Tukio la karibuni la ufyatuaji risasi nchini Marekani; kuendelea vurugu, hofu na ukatili
Apr 14, 2022 05:23Vurugu zinazotokana na uhuru wa kubeba silaha na mauaji ya kikatili zinaendelea nchini Marekani, ambapo hivi karibuni watu 29 walijeruhiwa kwa risasi, baadhi yao wakiwa katika hali mbaya, zilizofyatuliwa Jumanne asubuhi katika kituo cha njia ya treni ya chini kwa chini huko Brooklyn mjini New York.
-
Kiongozi Muadhamu: Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umeyavutia mataifa mengi duniani
Apr 12, 2022 23:38Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema changamoto zote zinazolikabili taifa hili zinaweza kupatiwa ufumbuzi na kusisitiza kuwa, Mfumo wa Uongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umepata mafanikio mengi katika sekta tofauti na kuwa kivutio kikubwa kwa mataifa mengi duniani.