-
Lavrov: Lengo la operesheni maalumu ya Russia nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani
Apr 12, 2022 03:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema lengo la operesheni maalumu ya Moscow nchini Ukraine ni kukomesha udhibiti wa Marekani duniani.
-
Ripoti: China inaimarisha silaha za nyuklia kukabiliana na tishio la Marekani
Apr 11, 2022 22:23Imedokezwa kuwa China imeongeza kasi ya upanuaji wa silaha zake za nyuklia baada ya tathmini mpya kuhusu tishio la Marekani kwa nchi hiyo.
-
Khatibzadeh: Marekani bado haijaonyesha nia ya kufikia makubaliano
Apr 11, 2022 03:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa, Marekani bado haijaonyesha nia ya kutosha ya kufikia makubaliano katika mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea huko Vienna nchini Austria na kuongeza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiathiriwi na kampeni za vyombo vya habari na matamshi yanayokinzana.
-
Umoja wa Ulaya wachochea vita Ukraine: Mchezo wa Brussels kwenye uwanja wa Washington
Apr 11, 2022 00:32Huku akisema kuwa mvutano kati ya Ukraine na Russia utamalizikia tu katika medani ya vita, Joseph Borrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya ametoa wito wa kutatuliwa kijeshi mzozo uliopo kati ya pande hizo.
-
Iran yaikosoa Marekani kwa kuibua masharti mapya ya kuondoa vikwazo
Apr 10, 2022 22:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imeibua masharti mapya inayotaka Tehran itekeleze ili iondolewe vikwazo sanjari na kuhuishwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ya mwaka 2015.
-
Iraq: Kambi ya Marekani inayowahifadhi magaidi mashariki mwa Syria inapaswa kuvunjwa
Apr 10, 2022 06:38Afisa wa ngazi ya juu wa usalama wa Iraq ametoa wito wa kuvunjwa kambi ya wakimbizi inayodhibitiwa na wanamgambo wa Kikurdi wanaoungwa mkono na Marekani karibu na mpaka wa Iraq nchini Syria, akisema kambi hiyo inayohifadhi maelfu ya magaidi wa Daesh ni tishio halisi kwa nchi yake.
-
Marekani yafanya mazoezi ya kijeshi Syria kinyume cha sheria
Apr 10, 2022 03:16Askari wa Jeshi la Marekani wamefanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na kundi la wanamgambo wanaojulikana kama Kurdish-Arab Syrian Democratic Forces (SDF) katika kisima cha mafuta cha Al-Omar katika eneo la Deir Ez-Zor katika ardhi ya Syria.
-
China: Marekani inatesa wafungwa kwenye jela za siri, haina haki ya kuzinyooshea kidole nchi nyingine
Apr 09, 2022 23:45China imeituhumu Marekani kuwa inafanya mateso ya kutisha dhidi ya wafungwa katika jela za siri (black sites) katika nchi washirika, ikisisitiza kwamba Washington haina haki ya kuikosoa nchi nyingine yoyote kwa ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Iran yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Wamarekani wanaohusika na ugaidi
Apr 09, 2022 07:57Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza orodha mpya ya vikwazo dhidi ya raia wa Marekani wanaohusika na vitendo vya ugaidi na ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Wasiwasi Waongezeka Marekani kutokana na kushadidi visa vya uhalifu
Apr 08, 2022 03:48Wasiwasi wa watu wa Marekani kuhusu uhalifu wa kutumia silaha za moto umefikia kiwango cha juu zaidi tangu 2016.