-
Marekani yaua watoto, wanawake katika operesheni ya kijeshi Syria
Feb 03, 2022 09:18Kwa akali raia 13 wakiwemo watoto saba na wanawake watatu wameuawa katika operesheni ya kijeshi ya Marekani dhidi ya wakazi wa mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Guterres apuuza mashinikizo ya US ya kutaka asusie Olimpiki China
Feb 03, 2022 09:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amepuuzilia mbali mwito wa Balozi wa Marekani katika umoja huo wa kumtaka asusie hafla ya ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya msimu wa baridi kali nchini China.
-
Tufani kubwa yakata umeme wa makumi ya maelfu ya nyumba Marekani
Jan 31, 2022 00:35Kimbunga na mafuriko yaliyoripotiwa katika majimbo yasiyopungua matano nchini Marekani yamesitisha safari zaidi ya 6000 za ndege kutokana na upepo mkali, theluji na vimbunga vilivyoathiri ukanda wa pwani ya mashariki ya Marekani.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; ushindi wa ngome ya uzalishaji katika vita vya kiuchumi vya adui
Jan 31, 2022 00:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, kusimama kidete sekta ya uzalishaji bidhaa za ndani mbele ya hujuma za kiuchumi na njama za adui za kujaribu kuizuia Iran isiuze mafuta na gesi yake, na pia kusimama imara mbele ya vita vya kuifungia Tehran vyanzo vya fedha za kigeni na kupanga njama za kuzuia mabadilishano ya kibiashara ya Iran na nchi nyingine, kwa hakika ni jihadi na ni miongoni mwa ibada kubwa kabisa.
-
Trump: Nitawasamehe waliovamia Kongresi ya Marekani nikishinda urais
Jan 30, 2022 04:27Aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump amesema iwapo atagombea na kushinda urais katika uchaguzi wa mwaka 2024, atawasamehe na kuagiza kuachiwa huru watenda jinai waliohusika na shambulizi dhidi ya jengo la Kongresi mnamo tarehe 6 Januari mwaka jana, lililofanywa na wafuasi wake.
-
"CIA ilifahamu kuhusu njama za kumpindua Rais wa Venezuela"
Jan 30, 2022 04:22Imebainika kuwa, maafisa wa ngazi za juu wa utawala wa Marekani wakiwemo maafisa waandamizi wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA, walifahamu kuhusu kuwepo kwa njama za kumpindua madarakani Rais Nicolas Maduro wa Venezuela.
-
Kufichuliwa hitilafu kati ya Berlin na Washington kuhusu Ukraine
Jan 29, 2022 23:08Gazeti la Ishpigel la nchini Ujerumani limeripoti kuwa Emily Haber Balozi wa Ujerumani mjini Washington ametuma barua ya siri kwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ujerumani akisistiza kuwa Washington inaitambua Ujerumani kama nchi muitifaki asiyeaminika kutokana na kushindwa kutoa ushirikiano unaohitajika kuhusu kadhia ya Ukraine.
-
Takwa la Russia kwa ajili ya kuondoka haraka vikosi vamizi ajinabi huko Syria
Jan 29, 2022 08:46Dmitry Polyanskiy Naibu Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema katika hotuba yake katika kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuwa Russia inataka kuondoka haraka iwezekanavyo vikosi vyote vamizi ajinabi ambavyo vipo kinyume cha sheria huko Syria.
-
New York Times: Israel imekuwa ikitumia programu ya kijasusi ya Pegasus kupeleka mbele malengo yake
Jan 29, 2022 07:26Gazeti la The New York Times la Marekani limefichua kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umetumia programu ya kijasusi ya "Pegasus" kuendeleza siasa zake za uhasama.
-
Khatami: Vikwazo vyote vya Marekani dhidi Iran lazima viondolewe
Jan 28, 2022 07:24Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya hapa mjini Tehran amegusia mazungumzo yanayoendelea mjini Vienna kuhusu kuondolewa vikwazo vya kidhulma ilivyowekewa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuwa, Marekani ina wajibu wa kuondoa vikwazo vyote ilivyoiwekea Iran, tena kwa sura ya kudumu.