Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kuongezeka vitendo vya ukatili nchini Marekani; 400 wauawa katika siku nne za mwanzo wa mwaka 2022

    Kuongezeka vitendo vya ukatili nchini Marekani; 400 wauawa katika siku nne za mwanzo wa mwaka 2022

    Jan 06, 2022 05:11

    Vitendo vya ukatili na utumiaji mabavu vinatishia kwa kiwango kikubwa sana maisha ya raia wa Marekani na ripoti zinassma kuwa, Wamarekani 400 wameuawa kwa kupigwa risasi katika siku nne tu za mwanzo za mwaka huu mpya wa 2022 na wengine 277 wamejeruhiwa.

  • Marekani yaingiwa na kiwewe baada ya Pyongyang kuvurumisha kombora la balestiki

    Marekani yaingiwa na kiwewe baada ya Pyongyang kuvurumisha kombora la balestiki

    Jan 05, 2022 23:19

    Marekani imeingiwa na kiwewe baada ya jeshi la Korea Kaskazini kuvurumisha baharini kombora jingine la balestiki.

  • Brigedia Jenerali Qaani: Wauaji wa Kamanda Soleimani hawatakuwa salama

    Brigedia Jenerali Qaani: Wauaji wa Kamanda Soleimani hawatakuwa salama

    Jan 05, 2022 04:15

    Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: Wauaji wa Luteni Jenerali Qasem Soleimani walidhani kuwa wameshinda kwa kumuua, lakini hawakujua kwamba hawatakuwa salama.

  • Ahadi ya Marekani ya kuilinda Ukraine

    Ahadi ya Marekani ya kuilinda Ukraine

    Jan 03, 2022 23:15

    Jumapili iliyopita Rais wa Marekani Joe Biden alizungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelinsky, na kujadili jinsi Marekani na washirika wake watakavyojibu shambulio lolote la kijeshi la Russia dhidi ya nchi hiyo.

  • Kuuliwa shahidi Qasem Soleiman na kasi ya kuporomoka nafasi ya Marekani eneo la Asia Magharibi

    Kuuliwa shahidi Qasem Soleiman na kasi ya kuporomoka nafasi ya Marekani eneo la Asia Magharibi

    Jan 03, 2022 07:46

    Leo tarehe 3 Januari 2022, inasadifiana na kumbukumbu ya mwaka wa pili wa mauaji ya Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyofanywa na serikali ya Marekani.

  • Waislamu Marekani watoa wito wa kukomeshwa ujasusi dhidi ya jamii yao

    Waislamu Marekani watoa wito wa kukomeshwa ujasusi dhidi ya jamii yao

    Dec 31, 2021 04:48

    Kundi kubwa la kutetea haki za Waislamu nchini Marekani limetoa wito wa kusitishwa ujasusi unaofanya dhidi ya jamii ya wafuasi wa dini hiyo na kuchukuliwa hatua kali kwa wahusika wa vitendo hiyo.

  • Marekani: Tuna wasiwasi kuhusu mafanikio ya roketi ya kubeba satalaiti la Iran

    Marekani: Tuna wasiwasi kuhusu mafanikio ya roketi ya kubeba satalaiti la Iran

    Dec 31, 2021 01:22

    Marekani imetangaza kuwa ina wasiwasi kuhusu mafanikio ya roketi ya kubeba satalaiti katika anga za mbali ya Simorgh nchini Iran.

  • Kamanda: Adui hawezi kustahamili gharama za makabiliano na Iran

    Kamanda: Adui hawezi kustahamili gharama za makabiliano na Iran

    Dec 29, 2021 01:02

    Kamanda mwandamizi wa kijeshi nchini Iran amewashauri maadui wasithubutu kupima uwezo wa kijeshi wa Iran kwa kufanya chokochoko kwani hawataweza kustahamili gharama za vita vya pande zote na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Sisitizo la Rais Maduro la kugonga mwamba siasa za Marekani dhidi ya Venezuela

    Sisitizo la Rais Maduro la kugonga mwamba siasa za Marekani dhidi ya Venezuela

    Dec 28, 2021 23:10

    Sambamba na kuendelea mashinikizo ya kisiasa ya Marekani dhidi ya taifa na serikali ya Venezuela, Rais Nicolas Maduro wa nchi hivyo amesema kuwa, taifa hilo limesimama kidete dhidi ya ubeberu na limefanikiwa kuibuka na ushindi.

  • Onyo la Papa Francis kuhusu kimya cha walimwengu kwa jinai dhidi ya Palestina na Yemen

    Onyo la Papa Francis kuhusu kimya cha walimwengu kwa jinai dhidi ya Palestina na Yemen

    Dec 26, 2021 23:08

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameonya kuhusiana na kimya na kigugumizi cha walimwengu kwa jinai na masaibu yanayowakumba wananchi wa Yemen na Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS