-
Kifo cha Rumsfeld, mhandisi mkuu wa vita na mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iraq
Jul 01, 2021 04:23Donald Rumsfeld, waziri wa zamani wa ulinzi wa Marekani ambaye ndiye aliyekuwa mhandisi mkuu wa mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iraq na Afghanistan ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 88.
-
Wanachama wa Baraza la Usalama waitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo
Jul 01, 2021 03:11Nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimeitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo vyote kwa mujibu wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Nukta sita kuhusu mashambulizi ya Marekani dhidi ya Hashdu Shaabi huko Iraq
Jun 30, 2021 21:53Ndege za kivita za Marekani siku ya Jumatatu iliyopita ziliishambulia kambi ya usaidizi na lmasuala ua lojistiki ya Brigedi ya 14 ya harakati ya wanamuqawa wa Hashdu Shaabi ya Iraq katika mpaka wa nchi hyo na Syria, ambapo katika mashambulizi hayo wapiganaji wanne wa harakati hiyo waliuliwa shahidi.
-
Ujerumani yakamilisha mchakato wa kuondoa askari wake Afghanistan; US?
Jun 30, 2021 06:40Ujerumani imetangaza kuwa imemaliza mchakato wa kuwaondoa wanajeshi wake huko Afghanistan, huku Marekani ikiripotiwa kuwa inapanga kuwaacha mamia ya wanajeshi wake nchini humo.
-
Rais Rouhani: Biden anawasaliti wananchi wa Marekani
Jun 30, 2021 06:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema iwapo Rais Joe Biden wa Marekani atafeli kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kama alivyoahidi, basi atakuwa amewasailiti wananchi wa Marekani ambao walimpigia kura wakitaka kuona mabadiliko ya sera ghalati dhidi ya Iran za mtangulizi wake, Donald Trump.
-
UN yataka kung’olewa mizizi ya ubaguzi wa kimfumo duniani
Jun 29, 2021 21:53Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Michelle Bachelet Jumatatu wiki hii alitoa wito wa kung'olewa mizizi ya ubaguzi wa kimbari unaofanyika kimfumo dhidi ya watu weusi kote duniani ili dunia isishuhudie tena matukio ya kusikitisha kama lile la muaji ya raia mweusi wa Mrekani, George Floyd.
-
Ilhan Omar alaumu shambulio ya Marekani dhidi ya makundi ya muqawama ya Iraq
Jun 28, 2021 22:12Mbunge Muislamu nchini Marekani ameilaumu serikali ya nchi hiyo kwa kufanya shambulizi katika mpaka wa Syria na Iraq na kusema kuwa, shambulio hilo ni siasa zilizofeli.
-
Makundi ya muqawama ya Iraq: Tutalipiza kisasi dhidi ya Marekani
Jun 28, 2021 06:13Makundi ya muqawama ya Iraq yametangaza kuwa, yatalipiza kisasi mashambulizi ya Marekani dhidi ya ngome za kundi la Hashdu Shaabi.
-
Syria yaalani misimamo ya Marekani na utawala wa Kizayuni kuhusu Miinuko ya Golan
Jun 27, 2021 21:59Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria kwa mara nyingine tena imesisitiza kuwa eneo la Golan ni sehemu ya ardhi ya nchi hiyo na kueleza kuwa, mamlaka ya nchi hiyo kwa eneo la Golan haibadiliki kwa kupita muda na misimamo ya Marekani na utawala wa Israel haina taathira yoyote ya kisheria.
-
Iran yaishauri Marekani iachane na turathi zilizofeli za Trump
Jun 26, 2021 23:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ingali inaamini kuwa ni jambo linalowezekana kufikia makubaliano katika mazungumzo ya kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA huko Vienna, iwapo utawala wa sasa wa Marekani utaamua kuweka pembeni sera na turathi zilizogonga mwamba za aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Donald Trump.