-
Marekani pia yarefusha kwa miaka 5 mingine mkataba wa New START iliosaini na Russia
Feb 04, 2021 00:56Baada ya muda wa chini ya wiki moja tangu rais wa Russia aliposaini mpango wa kurefusha mkataba wa New START, waziri wa mambo ya nje wa Marekani ametangaza kuwa nchi hiyo nayo pia imesaini mpango wa kurefusha mkataba huo.
-
Zarif: Marekani sharti itekeleze wajibu wake kwa kurejea katika JCPOA
Feb 02, 2021 00:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani haina budi kutekeleza wajibu na majukumu yake kwa kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Blinken na madai mapya kwa ajili ya kurejea katika JCPOA
Feb 01, 2021 23:31Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri hamu ya Washington ya kutaka kurejea katika mapatano ya JCPOA na kisha akatoa madai mapya kama sharti la kurejea katika mapatano hayo.
-
Marekani yaingiza shehena ya zana za kijeshi mashariki mwa Syria
Feb 01, 2021 23:30Duru mbalimbali za habari zimearifu kuwa, silaha na zana za kilojistiki za wanajaeshi magaidi wa Marekani zimeonekana zikiingizwa katika maidani ya mafuta huko Koniko kaskazini mashariki mwa Deir Zor.
-
Biden: Mamilioni ya watu wamepoteza ajira Marekani kutokana na corona
Feb 01, 2021 04:49Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kuwa, mamilioni ya wananchi wa nchi hiyo hawana ajira baada ya kupoteza kazi zao kutokana na janga la ugonjwa wa COVID-19.
-
Kuchaguliwa Robert Malley kama mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran na kelele zisizo na maana zilizofuata
Jan 31, 2021 06:41Baada ya kuingia madarakani serikali mpya ya Joe Biden nchini Marekani na kutangazwa msimamo wake kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran ambayo ni maarufu kama JCPOA, ilikuwa inatarajiwa kuwa kungekuwa na mabadiliko maalumu katika uga huu.
-
Marekani yakataa kuondoa kikamilifu wanajeshi wake walioko Afghanistan
Jan 30, 2021 23:21Marekani imetazama upya aghalabu ya sera na hatua za serikali iliyotangulia ya Trump baada ya kuingia madarakani serikali mpya ya Joe Biden. Siasa za Washington kuhusu Afghanistan na kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini humo ni kati ya masuala hayo.
-
Syria yalalamika kuhusu jinai zinazofanywa na magaidi wanaopata himaya ya Marekani
Jan 30, 2021 08:58Syria imesema wanaotenda jinai dhidi ya watoto wa Syria wakiwemo magaidi na wanamgambo wa Kikurdi wa SDF wanapata himaya ya Marekani.
-
Ukosoaji wa kuchelewa wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu kadhia ya Palestina
Jan 29, 2021 23:14Akizungumza Jumanne katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoandaliwa kwa ajili ya kujadili masuala ya eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) Ahmad Abu al-Ghait, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu au kwa jina jingine Arab League, alisema kuwa Wapalestina wamepitia mashinikizo makubwa yasiyo na mfano wake katika miaka minne ya utawala wa rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump.
-
Iran: Ni Marekani ndiyo yenye wajibu wa kurudi kwenye JCPOA
Jan 29, 2021 09:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, hivi sasa ni Marekani ndiyo yenye wajibu wa kurejea kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kutekeleza ahadi na majukumu yake.