-
Waziri wa Ulinzi wa China aitahadharisha Marekani
May 28, 2020 21:52Waziri wa Ulinzi wa China amesema kuwa ushindani wa nchi hiyo na Marekani umeingia katika nukta nyeti na hatari na kwamba China ni lazima iimarishe zaidi moyo wa kusimama imara.
-
Marekani yaondoa misamaha ya nyuklia ya Iran
May 28, 2020 21:52Baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) mnamo Mei 8 2018, ilianza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Iran. Vikwazo hivyo vya upande mmoja ni ukiukwaji wa wazi wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
China: Mgogoro kati yetu na Marekani umeshtadi zaidi, kupenda makubwa kwa Trump ndio sababu
May 28, 2020 12:51Waziri Mkuu wa China ameelezea kushtadi mgogoro kati ya nchi yake na Marekani
-
Mwandamanaji auawa Marekani katika maandamano ya kulalamikia muaji
May 28, 2020 05:31Mtu mmoja amepigwa raisasi na kuuawa katika maandamano katika mji wa Minneapolis nchini Marekani.
-
Sisitizo la Ujerumani juu ya udharura wa kuwa huru Ulaya katika masuala ya kimataifa
May 28, 2020 04:52Umoja wa Ulaya umekumbwa na changamoto nyingi tofauti hususan wakati huu wa mgogoro wa maambukizi ya corona. Hivi sasa bara la Ulaya limekumbwa na mgogoro ambao haujawahi kutokea barani humo. Si hayo tu, lakini mivutano iliyodhihiri zaidi ndani ya Umoja wa Ulaya wakati huu wa corona, ni msiba mwingine uliolikumba bara hilo na kuzidi kuonesha udhaifu wake katika nyuga tofauti hasa za kiafya na kiuchumi na utegemezi wa nchi hizo kwa mataifa mengine kama China.
-
Mgogoro mkubwa Marekani; waliokufa kwa corona wapindukia laki moja
May 28, 2020 01:36Licha ya rais wa Marekani, Donald Trump kujigamba kuwa ameudhibiti ugonjwa wa COVID-19, lakini corona inaendelea kuchukua roho nyingi za Wamarekani kiasi kwamba hivi sasa zaidi ya watu laki moja wameshapoteza maisha yao kwa ugonjwa huo nchini humo.
-
Rais Rouhani aihutubu Marekani: Biashara yetu na Venezuela haiwahusu
May 27, 2020 21:53Rais Hassan Rouhani wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kujaribu kuingilia miamala ya kibiashara baina ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi nyingine huru duniani.
-
Iraq: Hatuna haja na wageni katika kupambana na magaidi wa ISIS
May 27, 2020 21:53Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Iraq amesema, nchi yake ina uwezo wa kutosha wa kupambana na kuwamaliza magaidi wa Daesh (ISIS) hivyo haina haja na msaada wa wanajeshi kutoka nje.
-
Iran yalaani ukatili wa polisi wa Marekani kwa kumuua raia mweusi + Video
May 27, 2020 11:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali ukatili wa polisi ya Marekani uliopelekea kupoteza maisha raia mwengine mwenye asili ya Afrika.
-
Russia yakanusha madai ya US ya kutuma ndege za kivita Libya
May 27, 2020 11:21Russia imekadhibisha na kutaja kama upotoshaji madai ya Marekani kwamba Mosow imetuma ndege za kijeshi nchini Libya kwenda kuwasaidia wapiganaji wa Khalifa Haftar.