-
Jarida la Newsweek: Trump ameogopa vitisho vya Rais Erdoğan wa Uturuki kuhusu Syria
Oct 08, 2019 23:03Jarida la Newsweek la Marekani limemnukuu mmoja wa viongozi wa serikali ya nchi hiyo akisema kuwa, Rais Donald Trump amesalimu amri mbele ya matakwa ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki kuhusiana na Syria na kuyakubali bila ya pingamizi lolote.
-
Kushirikiana Marekani na Ulaya kuiwekea mashinikizo Uturuki baada ya kugundua gesi
Oct 07, 2019 23:47Uhusiano wa Uturuki na Marekani hasa baada ya kufeli jaribio la mapinduzi ya kijeshi ya tarehe 15 Julai 2016, umeendelea kugubikwa na mizozo mingi.
-
Kuvunjika mzungumzo ya nyuklia kati ya Marekani na Korea Kaskazini
Oct 07, 2019 06:29Rais wa Marekani Donald Trump wa Marekani, anaendelea na siasa za vitisho na mazungumzo katika fremu ya ahadi zake za uchaguzi za kuutatua mgogoro wa nyuklia wa Rasi ya Korea.
-
Vikwazo vya Marekani; uchokozi wa wazi dhidi ya nchi nyingine
Oct 06, 2019 07:42Mashinikizo ya Marekani dhidi ya Cuba na Venezuela yanazidi kushtadi, huku nchi hizo zikiwa zinaendelea kushikamana na malengo yao na kusisitizia juu ya kuimarishwa ushikamano wao.
-
Mkutano wa chuki dhidi ya Uislamu kufanyika katika hoteli ya Trump
Oct 06, 2019 04:46Kundi moja lenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Marekani limepanga kufanya hafla katika mkahawa mashuhuri wa Mar-a-Lago unaomilikiwa na Rais Donald Trump.
-
Marekani haijawafungulia mashitaka makasisi 1,700 wa Katoliki waliolawiti watoto
Oct 06, 2019 00:46Uchunguzi wa shirika la habari la Associated Press umefichua kuwa, makasisi, maaskofu, mapadri na maafisa wengine 1,700 wa Kanisa Katoliki nchini Marekani wanaishi huru bila kufuatiliwa na vyombo vya sheria, licha ya kukabiliwa na tuhuma za kuwadhalilisha kingono watoto wadogo.
-
Ripoti: Muungano wa Marekani-Saudia-Israel dhidi ya Iran unadorora katika mgogoro
Oct 05, 2019 03:15Muungano dhidi ya Iran ambao umeundwa na watawala wa Marekani, Israel na Saudi Arabia unadorora huku kila mmoja wa watawala wa nchi hizo akikumbwa na matatizo makubwa.
-
Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia: Iran imepiga hatua katika njia sahihi
Oct 04, 2019 23:09Mkurugenzi Mkuu wa muda wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ameeleza kuridhishwa kwake na ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na taasisi hiyo ya kimataifa.
-
Vitisho vya Marekani vya kuwawekea vikwazo waitifaki wake iwapo watanunua silaha za Russia
Oct 04, 2019 05:33Mwenendo wa Marekani wa kuchukua hatua za upande mmoja na nchi hiyo kupanua ubeberu wake katika kipindi cha Rais Donald Trump, umeshika kasi zaidi na sasa umechukua sura mpya.
-
Hatua za uhasama za Marekani dhidi ya Venezuela na radiamali ya Russia
Oct 01, 2019 07:46Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, Marekani imejikita zaidi katika suala la kuipindua serikali ya mrengo wa kushoto nchini Venezuela na kumuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo Nicolas Maduro na kisha kuiweka uongozini serikali ambayo ni mshirika wake kwa uongozi wa kinara wa upinzani Juan Guaido.