Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Afrika Kusini: Hatutaruhusu uchumi wetu udumazwe na wivu wa Marekani

    Afrika Kusini: Hatutaruhusu uchumi wetu udumazwe na wivu wa Marekani

    Jul 06, 2019 08:25

    Rais wa Afrika Kusini amesema nchi hiyo kamwe haitaruhusu uchumi wake uvurugwe na kurejeshwa nyuma kutokana na vita vya kibiashara vya Marekani, vilivyochechewa na wivu.

  • Ukosoaji wa Russia kuhusu mkinzano uliopo kati ya shaari na hatua za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA

    Ukosoaji wa Russia kuhusu mkinzano uliopo kati ya shaari na hatua za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA

    Jul 06, 2019 07:19

    Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ambazo ni nchi wanachama wa Ulaya katika kundi la 4+1 mara kwa mara zimekuwa zikisisitiza juu ya ulazima wa kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA; na hata kudai kuwa zimeanzisha mfumo maalumu kwa lengo hilo. Pamoja na hayo, shaari na nara zinaotolewa na pande hizo za Ulaya zinakinzana na matendo yao.

  • Wasaudia waendelea kulalamikia kualikwa mwanamuziki mcheza uchi nchini mwao

    Wasaudia waendelea kulalamikia kualikwa mwanamuziki mcheza uchi nchini mwao

    Jul 05, 2019 10:42

    Wanaharakati wengi wa mitandao ya kijamii na wananchi wa Saudi Arabia wamekasirishwa mno na kualikwa mwanamuziki mmoja wa RAP wa Kimarekani katika tamasha la muziki la mjini Jeddah.

  • Mpango wa Muamala wa Karne, Palestina yakataa upatanishi wa Marekani

    Mpango wa Muamala wa Karne, Palestina yakataa upatanishi wa Marekani

    Jul 05, 2019 02:36

    Wiki mbili tu baada ya mkutano wa utangulizi wa kutekeleza mpango uliopewa jina la "Muamala wa Karne" huko Manama nchini Bahrain, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, Palestina haikubali upatanishi wa Marekani katika kadhia ya Palestina.

  • Kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya; takwa la kufanyika uchunguzi kuhusu uwepo wa silaha za Marekani

    Kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya; takwa la kufanyika uchunguzi kuhusu uwepo wa silaha za Marekani

    Jul 04, 2019 03:32

    Sanjari na kushadidi vita na mapigano nchini Libya, uingiliaji wa kigeni katika nchi hiyo nao umeongezeka.

  • Abbas apinga upatanishi wa Marekani katika mgogoro wa Palestina

    Abbas apinga upatanishi wa Marekani katika mgogoro wa Palestina

    Jul 04, 2019 02:14

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa Palestina haiwezi kukubali upatanishi wa Marekani kati yake na utawala haramu wa Israel.

  • Kushadidi makabiliano ya kibiashara baina ya Marekani na Ulaya

    Kushadidi makabiliano ya kibiashara baina ya Marekani na Ulaya

    Jul 03, 2019 03:00

    Rais Donald Trump wa Marekani kivitendo ameingia katika vita vya kibiashara na akthari ya madola makubwa kiuchumi uulimwenguni.

  • Palestina: Kikao cha Manama kinaashiria kufeli utawala wa Trump

    Palestina: Kikao cha Manama kinaashiria kufeli utawala wa Trump

    Jun 30, 2019 03:38

    Msemaji wa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema mkutano wa Marekani uliofanyika siku chache zilizopita katika mji mkuu wa Bahrain, Manama kwa shabaha ya kuzindua Muamala wa Karne umeonesha ni jinsi gani sera na mipango batili ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani imefeli.

  • Trump akanyaga ardhi ya Korea Kaskazini na kukutana na Kim Jon-un

    Trump akanyaga ardhi ya Korea Kaskazini na kukutana na Kim Jon-un

    Jun 30, 2019 03:20

    Rais Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini.

  • Makombora ya Marekani yanaswa Libya katika ngome ya Haftar

    Makombora ya Marekani yanaswa Libya katika ngome ya Haftar

    Jun 30, 2019 03:13

    Wanajeshi wa serikali ya Umoja wa Kitaifa inayoongozwa na Waziri Mkuu Fayez al-Sarraj na ambayo inaungwa mkono na jamii ya kimataifa wamenasa makombora ya Marekani yaliyokuwa yakitumiwa na vikosi vinavyojiita Jeshi la Kitaifa linaloongozwa na kamanda muasi Khalifa Haftar.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS