Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Trump: Marekani imejaa hadi pomoni, hatuwezi kupokea watu wengine

    Trump: Marekani imejaa hadi pomoni, hatuwezi kupokea watu wengine

    Apr 06, 2019 03:16

    Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kutoa matamshi yake ya kibaguzi na chuki dhidi ya wahajiri, kwa kusema kuwa nchi hiyo imejaa hadi pomoni, na wala haina uwezo wa kupokea watu zaidi.

  • Madai ya Pompeo ya eti kuunga mkono hatua za IAEA kuhusiana na JCPOA

    Madai ya Pompeo ya eti kuunga mkono hatua za IAEA kuhusiana na JCPOA

    Apr 05, 2019 08:46

    Makubaliano ya nyuklia, yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) yanahesabiwa kuwa ni makubaliano muhimu sana kwa ajili ya kudumisha amani na usalama wa kimataifa; lakini Marekani imekuwa ikiyachimba kwa dhamira ya kuyasambaratisha, hasa kutokana na hatua iliyochukuliwa na nchi hiyo tarehe 8 Mei, 2018 ya kutangaza kujitoa kwenye makubaliano hayo ya kimataifa.

  • Kushadidi mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela na kukabiliana na Russia na China

    Kushadidi mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela na kukabiliana na Russia na China

    Apr 05, 2019 01:55

    Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake huko Venezuela, imechukua hatua zenye lengo la kuiangusha serikali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolas Maduro aliyechaguliwa kihalali na kwa njia ya demokrasia.

  • Kutimuliwa NATO, tishio lisilo na kifani la Marekani dhidi ya Uturuki

    Kutimuliwa NATO, tishio lisilo na kifani la Marekani dhidi ya Uturuki

    Apr 04, 2019 10:17

    Uhusiano wa Marekani na Uturuki umekuwa mbaya katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita hasa baada ya jaribio la kuipindua serikali ya Rais Recep Tayyip Erdogan manamo Junia 15 mwaka 2016.

  • Ankara: Marekani ichague ama kushirikiana na Uturuki au magaidi

    Ankara: Marekani ichague ama kushirikiana na Uturuki au magaidi

    Apr 04, 2019 03:23

    Makamu wa Rais wa Uturuki amejibu matamshi ya Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence, ambaye aliitaka Ankara inunue ndege za kivita za F-35 kutoka Marekani badala ya kununua mfumo wa kujilinda na mashambulizi ya makombora wa S-400 kutoka kwa Russia.

  • Sanders: Maelfu ya Wamarekani katika hatari ya kufa kutokana na sera mbovu ya afya ya Trump

    Sanders: Maelfu ya Wamarekani katika hatari ya kufa kutokana na sera mbovu ya afya ya Trump

    Apr 01, 2019 10:37

    Seneta Bernie Sanders ambaye ametangaza rasmi azma yake ya kugombea urais katika uchaguzi wa 2020 nchini Marekani amesema maelfu ya wananchi wa nchi hiyo wako katika hatari ya kupoteza maisha iwapo mpango wa Rais Donald Trump wa kufuta sheria ya bima nafuu ya afya utafanikiwa.

  • Papa azikosoa nchi zinazojenga ukuta ili kuwafungia nje wahajiri

    Papa azikosoa nchi zinazojenga ukuta ili kuwafungia nje wahajiri

    Apr 01, 2019 10:36

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewakosoa vikali viongozi wanaojenga ukuta katika mpaka wa nchi zao eti kwa ajili ya kuzuia wimbi la wahajiri.

  • Zarif: Iran kamwe haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Zarif: Iran kamwe haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani

    Mar 31, 2019 22:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua dhidi ya Iran zinazochukuliwa na Marekani na kusema: "Wairani kamwe hawatasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani."

  • Sisitizo la Mogherini la kupinga EU umiliki wa Israel wa milima ya Golan ya Syria

    Sisitizo la Mogherini la kupinga EU umiliki wa Israel wa milima ya Golan ya Syria

    Mar 31, 2019 22:21

    Ikiwa ni katika kuendelea kujikomba kwa lobi za Kizayuni, rais wa Marekani Donald Trump, tarehe 25 Machi, 2019 alitambua rasmi kumilikiwa na Israel milima ya Golan ya Syria.

  • Uchunguzi: Saudia ilidukua simu ya mmiliki wa Washington Post

    Uchunguzi: Saudia ilidukua simu ya mmiliki wa Washington Post

    Mar 31, 2019 03:25

    Uchunguzi umefichua kuwa, Saudi Arabia ilidukua mawasiliano ya simu ya mmliki wa gazeti la Marekani la Washington Post, kutokana na gazeti hilo kuakisi kwa kina mauaji ya Jamal Khashoggi, aliyekuwa mwandishi wa habari na mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS