-
Carter: Dunia inakabilwia na hatari ya "Vita Baridi vya Kisasa"
Jan 01, 2019 23:19Rais wa zamani wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo inaingia tena katika Vita Baridi lakini mara hii ni dhidi ya China.
-
Abbas: Palestina haitaruhusu Marekani iiuzie Israel Quds Tukufu
Jan 01, 2019 04:47Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema Wapalestina katu hawataruhusu Marekani iuuze mji mtukufu wa Quds kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, akisisitiza kuwa mji huo unaokaliwa kwa mabavu ni mji mkuu wa daima wa taifa la Palestina.
-
Ayatullah Nouri Hamedani: Kutoka Wamarekani Syria ni ushindi kwa jamii nzima ya Waislamu
Dec 29, 2018 23:20Mmoja wa marajii na wanachuoni wakubwa wa Kiislamu wa madhehebu ya Kishia amesema kuwa, kutoka Wamarekani nchini Syria ni ushindi kwa jamii nzima ya Kiislamu.
-
Ripoti: Aghalabu ya Wamarekani wanataka Trump auzuliwe
Dec 29, 2018 04:42Utafiti wa maoni uliofanywa na shirika la Harvard CAPS kwa ushirikiano na taasisi ya utafiti ya Harris umeonesha kuwa akthari ya Wamarekani wanataka Rais Donald Trump wa nchi hiyo auziliwe au avuliwe madaraka.
-
Marekani imeshatumia dola bilioni 130 kwa ajili ya utawala haramu wa Israel tangu kuundwa kwake
Dec 28, 2018 21:38Takwimu rasmi zinaonyesha kuwa katika kipindi cha miongo saba iliyopita tangu ulipoasisiwa utawala wa Kizayuni wa Israel, serikali ya Marekani imegharimika na kutumia dola bilioni 170 kwa ajili ya kuuhami na kuulinda utawala huo bandia.
-
Ayatullah Khatami: Safari ya siri ya Trump nchini Iraq ni ithibati ya kudhalilika Marekani katika eneo
Dec 28, 2018 12:39Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran, ameashiria safari ya kificho na ya kushtukiza ya Rais Donald Trump wa Marekani, akifuatana na mkewe Melania nchini Iraq na kusema kuwa, licha ya Marekani kutumia matrilioni ya dola katika eneo la Mashariki ya Kati, lakini rais wake amelazimika kufanya safari ya siri katika nchi moja ya eneo.
-
Upinzani wa Berlin dhidi ya kuwekwa makombora ya nyuklia ya Marekani nchini Ujerumani
Dec 28, 2018 02:57Rais Donald Trump wa Marekani tarehe 20 Oktoba mwaka huu alitangaza kuwa, nchi hiyo itajiondoa katika mkataba wa makombora ya nyuklia ya masafa ya kati maarufu kwa kifupi kwa jina la INF.
-
Meja Jenerali Safavi: Marekani haina nafasi tena Mashariki ya Kati
Dec 27, 2018 11:15Msaidizi na Mshauri mwandamizi wa Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Marekani haina nafasi tena katika eneo la Mashariki ya Kati na kwa msingi huo Wamarekani wanapaswa kuondoa katika eneo hili.
-
Ubalozi wa Marekani Baghdad washambuliwa baada ya safari ya kinyemela ya Trump nchini Iraq
Dec 27, 2018 04:16Ubalozi wa Mrekani mjini Baghdad nchini Iraq umeshambuliwa kwa maroketi mapema leo Alkhamisi masaa machache baada ya Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kufanya safari ya kinyemela nchini Iraq akiandamana na mkewe.
-
Amnesty yaitaka Marekani isitishe ukatili dhidi ya wahajiri
Dec 27, 2018 03:25Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa sera za kikatili za serikali ya Marekani kuhusiana na wahajiri na kutoa wito wa kubadilishwa mwenendo huo.