Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Ujerumani yapinga kuwekwa silaha za nyuklia za Marekani katika ardhi yake

    Ujerumani yapinga kuwekwa silaha za nyuklia za Marekani katika ardhi yake

    Dec 27, 2018 02:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema kuwa Berlin inapinga suala la kuwekwa silaha za masafa ya kati za nyuklia za Marekani katika ardhi yake.

  • Mamilionea wa Marekani wasema hawataunga mkono kampeni za Trump 2020

    Mamilionea wa Marekani wasema hawataunga mkono kampeni za Trump 2020

    Dec 25, 2018 10:58

    Utafiti wa maoni uliofanywa na shirika la habari la CNBC unaonesha kuwa Rais Donald Trump wa Marekani anaendelea kupoteza uungaji mkono sio tu miongoni mwa wananchi, bali pia miongoni mwa wafanyabiashara matajiri waliomuunga mkono katika kampeni zake za uchaguzi uliopita mwaka 2016.

  • Dakta Zarif: Tangu awali kuweko Marekani nchini Syria kulikuwa kinyume cha sheria

    Dakta Zarif: Tangu awali kuweko Marekani nchini Syria kulikuwa kinyume cha sheria

    Dec 24, 2018 23:28

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katu Marekani haijawahi kupambana na kundi la kigaidi la Daesh na kwamba, Washington haikuwa nchini Syria kwa faida ya wananchi wa nchi hiyo wala kwa ridhaa ya serikali ya Damascus.

  • Ayatullah Amoli Larijani: Marekani imekimbia nchini Syria

    Ayatullah Amoli Larijani: Marekani imekimbia nchini Syria

    Dec 24, 2018 11:29

    Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya Marekani ya kuondoa majeshi yeke Syria na kusema kuwa, Marekani imekimbia kutoka katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Shughuli za serikali ya Marekani  Zaendelea kukwama, Trump hana Krismasi

    Shughuli za serikali ya Marekani Zaendelea kukwama, Trump hana Krismasi

    Dec 24, 2018 01:08

    Sehemu kubwa ya shughuli za serikali ya Marekani zitaendelea kusitishwa kwa siku tano, kutokana na mkwamo kwenye ufadhili wa ujenzi wa ukuta wa kuzuia wahajiri katika mpaka wa Marekani na Mexico.

  • Mshauri wa Bashar al-Assad: Wamarekani wamekimbia Syria

    Mshauri wa Bashar al-Assad: Wamarekani wamekimbia Syria

    Dec 23, 2018 23:20

    Mshauri wa kisiasa na wa masuala ya habari wa Rais wa Syria amesema kuhusu hatua ya wanajeshi wa Marekani kuondoka nchini humo kwamba: Wamarekani wamekimbia, kwa sababu sisi tumesimama imara.

  • WikiLeaks: Balozi za Marekani duniani zimerundika vifaa vya ujasusi

    WikiLeaks: Balozi za Marekani duniani zimerundika vifaa vya ujasusi

    Dec 23, 2018 04:41

    Mtandao wa WikiLeaks umefichua kuwa, balozi za Marekani na vituo vingine vyake vya kidiplomasia kote duniani vimenunua kiwango kikubwa cha vifaa na suhula za kijasusi; katika hali ambayo baadhi ya nchi zimekuwa zikieleza hofu yao kwamba balozi hizo za Marekani badala ya kujihusisha na masuala ya udiplomasia pamoja na uhusiano mwema, zinahusika zaidi na masuala ya ujasusi, mapinduzi ya serikali halali na njama zinginezo haribifu kote duniani.

  • Hizbullah Iraq: Kuondoka Marekani syria ni ishara ya kushindwa Washington

    Hizbullah Iraq: Kuondoka Marekani syria ni ishara ya kushindwa Washington

    Dec 22, 2018 21:39

    Harakati ya Hizbullah ya Iraq imetangaza kuwa, kuondoka kwa majeshi ya Marekani nchini Syria kuna maana ya kushindwa stratijia za jeshi la nchi hiyo.

  • Kuendelea jinai za muungano vamizi unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen katika kivuli cha uungaji mkono wa Marekani

    Kuendelea jinai za muungano vamizi unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen katika kivuli cha uungaji mkono wa Marekani

    Dec 22, 2018 07:17

    Mohammed Abdulsalam msemaji wa harakati ya wananchi ya Ansarullah ya Yemen amelaani kufutwa kipengee katika azimio nambari 2451 la Umoja wa Mataifa kinachohusiana na kufanyika uchunguzi kuhusu wahusika wa jinai za kivita za muungano vamizi huko Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia.

  • Shambulio la muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani laua raia 30 nchini Syria

    Shambulio la muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani laua raia 30 nchini Syria

    Dec 22, 2018 04:33

    Raia wasiopungua 30 wakiwemo watoto wanane wameuliwa katika shambulio lililofanywa na ndege za kivita za muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika mkoa wa Deir ez-Zor mashariki mwa Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS