• Mgongano wa maneno na vitendo vya seriakli ya Trump kuhusu Iran

    Mgongano wa maneno na vitendo vya seriakli ya Trump kuhusu Iran

    Mar 15, 2025 22:48

    Licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kuzungumzia mara kwa mara nia yake ya kufanya mazungumzo na Iran katika miezi ya kwanza ya muhula wake wa pili wa urais na hata kutuma barua kuhusiana na suala hilo kwa Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, lakini kivitendo amekuwa akitekeleza mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran na kuchukua hatua mpya katika uwanja huo kila siku.

  • Marekani yamfukuza Balozi wa Afrika Kusini kwa 'kujieleza'

    Marekani yamfukuza Balozi wa Afrika Kusini kwa 'kujieleza'

    Mar 15, 2025 03:41

    Msuguano baina ya Marekani na Afrika Kusini umeendelea kutokota, baada ya Washington kumtangaza Balozi wa nchi hiyo ya Kiafrika mjini Washington, Ebrahim Rasool, kuwa mtu asiyetakiwa, kufuatia matamshi yake ya kumkosoa Rais Donald Trump.

  • Maafisa wa US yumkini wakapelekwa ICC kwa kuzuia haki

    Maafisa wa US yumkini wakapelekwa ICC kwa kuzuia haki

    Mar 15, 2025 03:40

    Afisa wa zamani wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Craig Mokhiber ameonya kuwa, maafisa wa Marekani wanaoishambulia Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC katika kuitetea Israel wanazuia haki na sheria, na kusisitiza kwamba wanaweza kushtakiwa katika siku zijazo.

  • Waandamanaji New York washinikiza kuachiliwa Mahmoud Khalil

    Waandamanaji New York washinikiza kuachiliwa Mahmoud Khalil

    Mar 13, 2025 23:00

    Waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina walikusanyika nje ya mahakama ya Manhattan jijini New York nchini Marekani, wakitaka mwanaharakati wa Kipalestina, Mahmoud Khalil aachiliwe huru.

  • Utawala wa Trump wazidisha ukandamizaji dhidi ya wanafunzi wanaoitetea Palestina

    Utawala wa Trump wazidisha ukandamizaji dhidi ya wanafunzi wanaoitetea Palestina

    Mar 12, 2025 22:49

    Hatua ya serikali ya Marekani ya kumtia mbaroni mwanaharakati anayepinga vita na anayeunga mkono Palestina anayepata elimu nchini humo imezidisha wasiwasi kuhusu kushadidi makabiliano ya kiusalama na watetezi wa Wapalestina na vuguvugu la wanafunzi nchini Marekani.

  • Iran: Kuna tofauti kati ya mazungumzo na vitisho

    Iran: Kuna tofauti kati ya mazungumzo na vitisho

    Mar 10, 2025 08:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema katu Jamhuri ya Kiislamu haitafanya mazungumzo kuhusu mradi wake wa nishati ya nyuklia chini ya mashinikizo, kwani mazungumzo ni tofauti na utumiaji wa mabavu na vitisho.

  • Russia kushirikiana na US kwenye faili la nyuklia la Iran

    Russia kushirikiana na US kwenye faili la nyuklia la Iran

    Mar 10, 2025 07:54

    Russia imeeleza nia ya kushirikiana na Marekani katika kushughulikia masuala ya Asia Magharibi, ikiwa ni pamoja na mradi wa nyuklia wa Iran, ikizingatiwa kuwa uhusiano wa Moscow na Washington unazidi kuimarika.

  • Qalibaf: Iran haitasubiri barua yoyote kutoka Marekani

    Qalibaf: Iran haitasubiri barua yoyote kutoka Marekani

    Mar 09, 2025 07:57

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Jamhuri ya Kiislamu haisubiri barua yoyote kutoka kwa Marekani, kwani taifa hili linategemea uwezo wa ndani katika kukabiliana na changamoto zake.

  • China yaituhumu Marekani kuwa na sera za nyuso mbili

    China yaituhumu Marekani kuwa na sera za nyuso mbili

    Mar 08, 2025 03:29

    Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeutuhumu utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump kwa kufuata sera za " nyuso mbili" na kuahidi "kukabiliana kwa uthabiti" na mashinikizo yanayoongezeka ya vikwazo, huku mvutano kati ya nchi hizo mbili zenye nguvu za kiuchumi ukiendelea kutokota.

  • Trump na kukandamizwa uhuru wa kusema huko Marekani

    Trump na kukandamizwa uhuru wa kusema huko Marekani

    Mar 08, 2025 00:53

    Gazeti la Marekani la Washington Post limeandika makala likiashiria amri za utendaji zilizotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, tangu aingie madarakani na kusema: Wakosoaji wanamtuhumu kuwa anakandamiza sana uhuru wa kujieleza na kukiuka Katiba ya Marekani.