Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Sudan yapuuzilia mbali madai ya Marekani dhidi yake

    Sudan yapuuzilia mbali madai ya Marekani dhidi yake

    Feb 25, 2024 06:26

    Serikali ya Sudan imekosoa vikali taarifa ya Marekani inayotuhumu serikali ya Khartoum kwamba inazuia watu nchi humo kufikishiwa misaada ya kibinadamu.

  • HAMAS: Kimbunga cha al-Aqsa kimevuruga njama za US katika eneo

    HAMAS: Kimbunga cha al-Aqsa kimevuruga njama za US katika eneo

    Feb 23, 2024 00:00

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa iliyofanywa na makundi ya muqawama ya Ukanda wa Gaza ilisitisha njama za Marekani za eti kulifinyanga eneo la Asia Magharibi na mustakabali wake.

  • Walimwengu wailaani US kwa kutumia veto kuzuia usitishaji vita Gaza

    Walimwengu wailaani US kwa kutumia veto kuzuia usitishaji vita Gaza

    Feb 20, 2024 23:27

    Mataifa na mashirika mbali mbali ya kimataifa yamelaani vikali hatua ya Marekani ya kutumia kura yake ya turufu kupinga rasimu ya azimio iliyowasilishwa na Algeria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, la kutaka kusitishwa mara moja mapigano katika Ukanda wa Gaza.

  • Iran: Kuipatia Israel dola bilioni 14 ni sawa na Marekani kutoa bakhshishi kwa mauaji ya Wapalestina

    Iran: Kuipatia Israel dola bilioni 14 ni sawa na Marekani kutoa bakhshishi kwa mauaji ya Wapalestina

    Feb 19, 2024 07:45

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, kuidhinishwa na Baraza la Seneti la Marekani msaada wa dola bilioni 14 kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kunaonyesha kuwa Washington inautuza na kuupa bakhshishi utawala huo kwa kuwaua kwa halaiki raia wasio na hatia wa Palestina katika vita visivyo na mlingano vya Gaza.

  • Yemen: Tumeitwanga meli ya Uingereza na kuitungua ndege isiyo na rubani ya Marekani

    Yemen: Tumeitwanga meli ya Uingereza na kuitungua ndege isiyo na rubani ya Marekani

    Feb 19, 2024 07:36

    Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen ametangaza kuwa, katika kuonyesha mshikamano na uungaji mkono kwa taifa la Palestina na kujibu mashambulio na uchokozi wa Marekani na Uingereza dhidi ya ardhi ya Yemen, vikosi vya nchi hiyo vimeipiga makombora kadhaa meli ya Uingereza katika operesheni maalumu viliyotekeleza katika Ghuba ya Aden.

  • US kuipigia veto rasimu ya azimio la Algeria la kusitisha vita Gaza

    US kuipigia veto rasimu ya azimio la Algeria la kusitisha vita Gaza

    Feb 18, 2024 07:35

    Maafisa wa Marekani wameapa kuwa nchi hiyo itatumia kura yake ya turufu kupinga rasimu ya azimio iliyowasilishwa na Algeria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, la kutaka kusitishwa mara moja mapigano katika Ukanda wa Gaza.

  • Biden aambiwa: Sitisha vita Gaza iwapo unataka kura za Waislamu

    Biden aambiwa: Sitisha vita Gaza iwapo unataka kura za Waislamu

    Feb 18, 2024 07:35

    Meya wa jiji la Dearborn, kaunti ya Wayne katika jimbo la Michigan nchini Marekani amesema Rais Joe Biden wa hiyo hatapata kura za Waislamu katika uchaguzi ujao nchini humo, iwapo ataendelea kuunga mkono jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika vita vya Gaza.

  • Marekani kuitumia Israel mamia ya mabomu aina ya MK-82

    Marekani kuitumia Israel mamia ya mabomu aina ya MK-82

    Feb 17, 2024 08:04

    Serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani inapanga kutuma shehena za mabomu na silaha nyingine zenye thamani ya makumi ya mamilioni ya dola kwa utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendelea kumwaga damu za Wapalestina wasio na hatia katika Ukanda wa Gaza.

  • Seneta wa Marekani: Washington ni mshirika wa Israel katika vita vya Gaza

    Seneta wa Marekani: Washington ni mshirika wa Israel katika vita vya Gaza

    Feb 14, 2024 08:48

    Seneta wa kujitegemea wa jimbo la Vermont nchini Marekani amesema kuwa, Washington ni mshirika wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika vita dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza kutokana na kuendelea kufadhili vita hivyo.

  • Kuongezeka ukosoaji  wa Magharibi dhidi ya himaya ya Marekani kwa Israel katika vita vya Gaza

    Kuongezeka ukosoaji wa Magharibi dhidi ya himaya ya Marekani kwa Israel katika vita vya Gaza

    Feb 13, 2024 23:06

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell, Jumatatu iliyopita aliitaka Marekani kuacha kutoa silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na kiwango kikubwa cha mauaji ya raia katika vita vya Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS