Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • 70% ya vijana Marekani wanapinga Biden kuikingia kifua Israel

    70% ya vijana Marekani wanapinga Biden kuikingia kifua Israel

    Nov 23, 2023 04:03

    Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Marekani unaonyesha kuwa, aghalabu ya vijana nchini humo hawaungi mkono msimamo wa Rais Joe Biden kwa mashambulizi ya mabomu, jinai za kivita na uporoaji wa ardhi unaofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Palestina.

  • Maelfu ya Wamarekani waandamana kupinga siasa za Biden

    Maelfu ya Wamarekani waandamana kupinga siasa za Biden

    Nov 18, 2023 03:53

    Maelfu ya Wamarekani wamekusanyika mbele ya Ikulu ya White House na New York kupinga siasa za Biden za kuunga mkono jinai za utawala wa kibaguzi wa Israel.

  • Iran: US ndiyo sababu ya kushtadi mgogoro Ukanda wa Gaza

    Iran: US ndiyo sababu ya kushtadi mgogoro Ukanda wa Gaza

    Nov 18, 2023 00:19

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitaki vita vya Gaza vipanuke, lakini yumkini vitasambaa zaidi katika maeneo mengine kwa kuwa Marekani inachochea mgogoro huo kwa kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • WSJ: Rais Biden anakabiliwa na uasi ndani ya serikali kwa sababu ya himaya yake kwa Israel

    WSJ: Rais Biden anakabiliwa na uasi ndani ya serikali kwa sababu ya himaya yake kwa Israel

    Nov 16, 2023 10:01

    Jarida la Wall Street Journal limeripoti kuwa Rais wa Marekani, Joe Biden, anakabiliwa na uasi kutoka kwa baadhi ya taasisi za serikali yake zinazopinga uungaji mkono wake kwa Israel katika vita vyake dhidi ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).

  • Biden, Blinken, na Austin washtakiwa mahakamani kwa kushindwa kuzuia mauaji ya kimbari huko Gaza

    Biden, Blinken, na Austin washtakiwa mahakamani kwa kushindwa kuzuia mauaji ya kimbari huko Gaza

    Nov 14, 2023 11:08

    Kituo cha Haki za Kikatiba nchini Marekani kimewasilisha kesi mahakamani dhidi ya Rais Joe Biden, Waziri wa Mambo ya Nje, Anthony Blinken na Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin kwa tuhuma za kutoa uungaji mkono usio na masharti kwa mauaji ya halaiki yaliyofanywa na Israel dhidi ya watu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.

  • Mabilionea wa Marekani kuendesha kampeni ya vyombo vya habari ili kuisafisha Israel na kuichafua HAMAS

    Mabilionea wa Marekani kuendesha kampeni ya vyombo vya habari ili kuisafisha Israel na kuichafua HAMAS

    Nov 13, 2023 22:55

    Bilionea mmoja mfanyabiashara nchini Marekani ameanzisha kampeni ya kuchangisha mamilioni ya dola ili kuvitumia vyombo vya habari visafishe sura chafu ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel sambamba na kuchafua haiba ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, wakati maandamano ya kuunga mkono Palestina dhidi ya Israel yaknazidi kupamba moto ulimwenguni kote.

  • Kuadhibiwa waungaji mkono wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani

    Kuadhibiwa waungaji mkono wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani

    Nov 12, 2023 23:17

    Licha ya madai ya kuheshimiwa uhuru wa kujieleza katika nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, lakini ukweli wa mambo ni kwamba kuna mistari miekundu katika uwanja huo, likiwemo suala la kutetea kadhia ya Palestina, ambapo waungaji mkono wa taifa hilo linalodhulumiwa hukabiliwa na vikwazo vya aina mbalimbali vikiwemo vya kuadhibiwa na kufungwa jela.

  • Maafisa zaidi ya 1,000 wa serikali ya Marekani wamwandikia barua Biden kumtaka akomeshe jinai za Wazayuni

    Maafisa zaidi ya 1,000 wa serikali ya Marekani wamwandikia barua Biden kumtaka akomeshe jinai za Wazayuni

    Nov 12, 2023 03:24

    Wafanyakazi zaidi ya elfu moja wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani wamesaini barua ya wazi na kumpelekea rais wa nchi hiyo Joe Biden kumtaka asimamishe jinai na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na kusitishwa vita haraka katika Ukanda huo.

  • Utunishaji misuli wa China sambamba na harakati za Marekani katika Bahari ya China Kusini

    Utunishaji misuli wa China sambamba na harakati za Marekani katika Bahari ya China Kusini

    Nov 09, 2023 23:22

    China imetuma meli yake ya kivita ya kubeba ndege ya Shangong katika Bahari ya China Kusini sambamba na kufanyika maneva ya baharini kati ya Marekani, Korea Kusini na Ufilipino.

  • Kituo cha jeshi la Marekani Iraq chashambuliwa, droni yake ya MQ-9 yatunguliwa Yemen

    Kituo cha jeshi la Marekani Iraq chashambuliwa, droni yake ya MQ-9 yatunguliwa Yemen

    Nov 09, 2023 03:42

    Vikosi vya Muqawama wa Kiislamu nchini Iraq vimeishambulia kambi ya jeshi la anga inayohifadhi wanajeshi wa Marekani nchini humo. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS