-
Ombi la jamii ya Shia wa Afghanistan kwa kundi la Taliban
Mar 15, 2024 22:52Wawakilishi wa jamii ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan wamewasilisha mapendekezo yao ya maandishi kwa Mohammed Abdul Kabir, naibu wa masuala ya kisiasa wa Waziri Mkuu wa utawala wa Taliban.
-
Watu zaidi ya 32 wauawa katika hujuma msikitini Qandahar, Afghanistan
Oct 15, 2021 10:48Hujuma ya kigaidi imelenga msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Kandahar, Afghanistan na kuepelekea waumini wasiopungua 32 kuuawa shahidi na wengine zaidi ya 53 kujeruhiwa.
-
Wanaharakati: UN itambue mauaji ya Mashia Afghanistan kuwa ni mauaji ya kimbari
May 19, 2021 22:05Wanaharakati wa haki za binadamu na utamaduni nchini Afghanistan wameutaka Umoja wa Mataifa utambue rasmi mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan katika miaka ya hivi karibuni kuwa ni mauaji ya kimbari.
-
Mkuu wa Baraza Kuu la Mashia Lebanon: Israel inachezea moto
Aug 25, 2019 08:01Mkuu wa Baraza Kuu la Mashia nchini Lebanon amesema, kuendeleza utawala wa Kizayuni wa Israel uchokozi dhidi ya Lebanon na Syria ni kuchezea moto, ambao utapelekea kuteketezwa utawala huo.
-
Amnesty International yakiri kuuawa kinyama Mashia wa Nigeria
Nov 01, 2018 01:09Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limevinyooshea kidole cha lawama vikosi vya usalama vya Nigeria likivituhumu kwamba, vimehusika na mauaji ya kinyama ya makumi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
-
Utawala wa Aal-Saud washadidisha siasa za ubaguzi wa kimadhehebu katika mwezi Muharram
Sep 12, 2018 22:12Sambamba na kuanza mwezi wa Muharram ambao ndani yake Waislamu hufanya maombolezo ya kukumbuka tukio chungu la Ashura la kuuawa shahidi Imam Hussein (as) mjukuu wa Mtume (saw), askari wa utawala wa Aal-Saud wameanzisha ukandamizaji wa kimadhehebu katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa Shia.
-
Askari wa Nigeria wawaua shahidi Waislamu wawili katika maombolezo ya Imam Hussein AS
Nov 06, 2017 05:54Askari wa Nigeria wameuhujumu msafara wa waumini waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS katika jimbo la Kano na kuwaua shahidi Waislamu wawili wa madehehbu ya Shia.
-
Waislamu Nigeria waandamana wakitaka Sheikh Zakzaky aachiliwe huru
Oct 23, 2017 10:31Waislamu nchini Nigeria wameendeleza maandamano wakitaka Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.
-
Azerbaijan yapiga marufuku watoto kushiriki hafla za Kiislamu
Oct 08, 2017 23:01Katika kile kinachoonekana ni mwendelezo wa ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia, serikali ya Azerbaijan inatazamiwa kupasisha sheria inayopiga marufuku watoto kushiriki katika hafla na sherehe za kidini.
-
Waislamu wa Shia kote duniani waadhimisha Siku ya Tasu'a
Sep 30, 2017 04:48Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameungana na Waislamu wa Kishia kote duniani katika maadhimisho ya Siku ya Tasu'a, wakifanya maombelezo ya kukumbuka mapambano ya Karbala yaliyopelekea kuuawa shahidi Imam Hussein AS.